Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d rekebisha kiungo cha takwimu using AWB
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3815143 (translate me)
Mstari 36: Mstari 36:
[[Jamii:Dar es Salaam]]
[[Jamii:Dar es Salaam]]
[[Jamii:Wilaya ya Temeke]]
[[Jamii:Wilaya ya Temeke]]

[[en:Kigamboni]]
[[it:Kigamboni]]

Pitio la 18:10, 9 Machi 2013


Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni is located in Tanzania
Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni

Mahali pa Kigamboni katika Tanzania

Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E / -6.86889; 39.26111
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Temeke
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 36,701
Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam
Mapumziko Kigamboni ufukoni

Wilaya ya Kigamboni ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo.[1]

Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la Dar es Salaam kwa maji ya Kurasini Creek. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.

Kiasili sehemu hii ilikuwa kijiji cha wavuwi lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga nyumba na hoteli za kitalii zimeenea kwenye ufuko wa Bahari Hindi.

Marejeo

  1. "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Iliwekwa mnamo 2008-08-21. 
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka