Chungwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ilo:Dalandan
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 115 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q13191 (translate me)
Mstari 100: Mstari 100:
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|hr}}


[[ab:Апатырқал]]
[[am:ብርቱካን (ፍሬ)]]
[[an:Narancha (fruita)]]
[[ar:برتقال]]
[[arz:برتقان]]
[[ast:Naranxa (frutu)]]
[[az:Portağal]]
[[bar:Pamarantschn]]
[[be:Апельсін]]
[[be-x-old:Апэльсін]]
[[bg:Портокал]]
[[bn:কমলা (ফল)]]
[[bo:ཚ་ལུ་མ།]]
[[br:Aouraval]]
[[bs:Narandža]]
[[ca:Taronja]]
[[cs:Pomeranč]]
[[cy:Oren (ffrwyth)]]
[[da:Appelsin]]
[[de:Orange (Frucht)]]
[[dsb:Apelsina]]
[[el:Πορτοκαλιά]]
[[eml:Partugal]]
[[en:Orange (fruit)]]
[[eo:Oranĝo (frukto)]]
[[es:Naranja]]
[[et:Apelsinipuu]]
[[eu:Laranja]]
[[fa:پرتقال]]
[[fi:Appelsiini]]
[[fr:Orange (fruit)]]
[[ga:Oráiste (toradh)]]
[[gl:Laranxa (froita)]]
[[gu:સંતરુ (ફળ)]]
[[gv:Oranje]]
[[he:תפוז]]
[[hi:संतरा (फल)]]
[[hr:Naranča]]
[[hsb:Apelsina]]
[[ht:Zoranj]]
[[hu:Narancs]]
[[id:Jeruk manis]]
[[ilo:Dalandan]]
[[io:Oranjo]]
[[is:Appelsína]]
[[it:Citrus × sinensis]]
[[ja:オレンジ]]
[[jv:Jeruk]]
[[ka:ფორთოხალი]]
[[kaa:Apelsin]]
[[kk:Апельсин]]
[[kn:ಕಿತ್ತಳೆ]]
[[ko:오렌지]]
[[la:Citrus sinensis]]
[[lad:Portokal (fruto)]]
[[lb:Orange (Fruucht)]]
[[lij:Çetron]]
[[lij:Çetron]]
[[ln:Lilála]]
[[lo:ໝາກກ້ຽງ]]
[[lt:Apelsinas]]
[[lv:Apelsīns]]
[[mk:Портокал]]
[[ml:ഓറഞ്ച് (സസ്യം)]]
[[mn:Жүрж]]
[[mr:संत्रे]]
[[mrj:Апельсин]]
[[ms:Oren (buah)]]
[[my:လိမ္မော်သီး]]
[[nah:Naranjaxocotl]]
[[nap:Pertegàll]]
[[nds-nl:Appelsien]]
[[new:सन्त्रासि]]
[[nl:Sinaasappel]]
[[nn:Appelsin]]
[[no:Appelsin]]
[[nv:Chʼil łitsxooí]]
[[oc:Irange]]
[[os:Апельсин]]
[[pa:ਸੰਗਤਰਾ]]
[[pam:Dalandan]]
[[pl:Pomarańcza]]
[[pms:Citrus sinensis]]
[[pt:Laranjeira]]
[[qu:Chilina]]
[[ro:Portocal]]
[[ru:Апельсин]]
[[sa:नारङ्गफलम्]]
[[scn:Arancia]]
[[sco:Oranger]]
[[se:Appelsiidna]]
[[sh:Naranča]]
[[simple:Orange (fruit)]]
[[sk:Pomaranč]]
[[sl:Pomaranča]]
[[sn:Ranjisi]]
[[sq:Portokalli]]
[[sr:Наранџа]]
[[sv:Apelsin]]
[[szl:Apluzina]]
[[ta:தோடை]]
[[te:బత్తాయి]]
[[th:ส้ม]]
[[tl:Dalandan]]
[[to:Moli]]
[[tr:Portakal]]
[[tum:Olenji]]
[[ug:ئاپېلسىن]]
[[uk:Апельсин]]
[[vi:Cam]]
[[vls:Seenappel]]
[[war:Aranghitas (bunga)]]
[[yi:מאראנץ]]
[[yo:Ọsàn]]
[[zh:橙]]
[[zh-min-nan:Liú-teng]]
[[zh-yue:橙]]

Pitio la 16:52, 9 Machi 2013

Machungwa na maua yake
Chungwa bivu

Chungwa ni tunda la mchungwa. Ni kati ya matunda yanayovunwa sana duniani. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck.

Tunda lenyewe ni kijani na rangi inabadilika kuelekea njano ikiiva. Pamoja na limau, danzi, balungi na ndimu ni mojawapo kati ya matunda chungwa. Siku hizi ni tunda linalovunwa zaidi kati ya matunda chungwa.

Asili yake ni katika Asia ya Kusini-Mashariki ambako lilioteshwa na wakulima. Kuna aina mbili yanayotofautiana kwa ladha ama chungu au tamu.

Aina yenye ladha chungu iliwahi kusambaa duniani hivyo jina la Kiswahili limetunza ladha hii hata kama matunda mengi yanayopandwa siku hizi ni aina tamu.

Chungwa tamu lilisambaa kote duniani baada ya Wareno kuchukua machipuko yake na kuyapanda kwanza Ureno baadaye hata Amerika na Afrika kuanzia karne ya 15.

Nchi za mavuno

Nchi za mavuno — 2005
(tani milioni)
Brazil 17.8
Marekani 8.4
Mexiko 4.1
Uhindi 3.1
China 2.4
Hispania 2.3
Italia 2.2
Uajemi 1.9
Misri 1.8
Pakistan 1.6
Dunia yote 61.7
Chanzo:
FAO
[1]



Viungo vya Nje

Chungwa

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru

wb.jpg machungwa na maua yake juu ya mchungwa.

Utangulizi

Chungwa, na hasa chungwa tamu, ni jamii ya matunda ya citrus, na huaminika kuwa yalikuzwa miongoni mwa enzi za pomelo na tangerine. Mti wake mdogo utoao maua hufikia urefu takribani mita kumi na majani yake yasiyokauka muda wote. Machungwa asili yake ni huko kusini mwa Asia. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili kutofautisha na Citrus aurantium, chungwa chungu.


Tunda

and cross section.jpg chungwa zima na kipande chake

matunda yote jamii ya jenasi ya citrus, huzaliana na familia yao hujumuisha machungwa, ndimu na limao. Matunda ya jamii hii huonwa kama ni ya ain aya beri sababu ya kuwa na mbegu nyingi, kuwa laini na nyama nyingi huku yakikua kutoka kwenye ovary moja.


Kiwango cha asidi

Kama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha, sawa kabisa na hata siki ya nyumbani.


Uzalishaji

[1] kiwango cha uzalishaji wa machungwa duniani.

Machungwa kwa kawaida hulimwa kwaajili ya biashara na hulimwa maeneo mengi duniani. Wazalishaji wa machungwa wanaoongoza duniani ni Brazili, Marekani na Meksiko. Machungwa huathirika kwa haraka sana na ukungu hivyo huhitaji matunzo mazuri pindi joto dogo sana linapotegemewa.


Ulimaji

sinensis JPG01.jpg mti wa mchungwa.

Michungwa huweza kukuzwa maeneo yenye joto na hata yale yenye baridi. Kama ilivyo kwa matudna mengine ya citrus, ili kupata mazao mazuri haina budi kukuza michungwa katika joto la 15.5 °C - 29 °C. Miti ya machungwa iliooteshwa kutokana na mbegu zilizonunuliwa madukani inaweza kuwa tofauti kabisa na ile miti ya asili iliyozalidha mbegu hizo. Hii hutokana na mabadiliko ya kizazi yanayotokana na kuchanganywa mbegu kisayansi kwa muda mrefu. Ili kupata mmea wa mchungwa kama tunda ulilolininunua, huna budi kuitunza mbegu hiyo kwenye unyevunyevu kisha tu baada ya kuzitua kwenye tunda na kuziotesha katika hali ya unyevu; na pindi mmea uchipuapo hapo ukapandwe kwenye udongo kusudiwa.


Sharubati na bidhaa nyingine.

and orange juice.jpg machungwa na sharubati yake.

Machungwa yanakuzwa katika hali mbalimbali za joto duniani kote, na ladha yake hubadilika kuanzia hali ya utamu mpaka uchungu kabisa. Tunda kwa kawaida humenywa na kuliwa au huminywa na sharubati yake kunywewa. Limezungukwa na ganda lenye ladha chungu lakini huweza kukamuliwa na kuondolewa maji yake na kutumika kwa chakula cha mifugo. Pia hutumika kuongeza ladha ya vyakula vingine na hata maganda yake hufaa kwa kazi hii. Sehemu nyeupe ya ndani, kati ya nyama na ganda la nje nayo huwa na vitamini sawa kabisa na nyama ya ndani.

Sharubati ya machungwa ndiyo bidhaa kuu kuliko zote ya machungwa. Huweza kuzalishwa kwa matumizi ya nyumbani lakini hasa hufanywa kwa minajili ya biashara. Sharubati ya kugandishwa ya machungwa hutengenezwa kutokana na majimaji ya machungwa pia. Mafuta ya machungwa ni bidhaa ndogo inayotengenezwa kwa kukamua maganda ya machungwa. Hutumika kwa kuongeza ladha ya chakula na zaidi kwenye utengenezaji wa manukato. Maua ya machungwa nayo hupendwa kwa harufu yake nzuri na hutumika mara nyingi nyakati za harusi na huhusishwa na bahati njema. Majani ya michungwa yanaweza kutumika kutengenezea chai. Maga

Marejeo

Kigezo:Link FA