Molekuli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha mk:Молекула hadi mk:Молекул
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 108 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11369 (translate me)
Mstari 22: Mstari 22:


[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Kemia]]

[[af:Molekuul]]
[[als:Molekül]]
[[an:Molecula]]
[[ar:جزيء]]
[[as:অণু]]
[[ast:Molécula]]
[[az:Molekul]]
[[bar:Molekui]]
[[bat-smg:Muolekolė]]
[[be:Малекула]]
[[be-x-old:Малекула]]
[[bg:Молекула]]
[[bn:অণু]]
[[br:Molekulenn]]
[[bs:Molekula]]
[[ca:Molècula]]
[[ceb:Molekula]]
[[ckb:گەرد]]
[[cs:Molekula]]
[[cy:Moleciwl]]
[[da:Molekyle]]
[[de:Molekül]]
[[dsb:Molekul]]
[[el:Μόριο]]
[[en:Molecule]]
[[eo:Molekulo]]
[[es:Molécula]]
[[et:Molekul]]
[[eu:Molekula]]
[[fa:مولکول]]
[[fi:Molekyyli]]
[[fiu-vro:Molõkul]]
[[fo:Mýl]]
[[fr:Molécule]]
[[fy:Molekule]]
[[ga:Móilín]]
[[gl:Molécula]]
[[he:מולקולה]]
[[hi:अणु]]
[[hr:Molekula]]
[[hsb:Molekul]]
[[hu:Molekula]]
[[ia:Molecula]]
[[id:Molekul]]
[[io:Molekulo]]
[[is:Sameind]]
[[it:Molecola]]
[[ja:分子]]
[[jbo:xumsle]]
[[jv:Molekul]]
[[ka:მოლეკულა]]
[[kk:Молекула]]
[[kn:ಅಣು]]
[[ko:분자]]
[[ku:Molekul]]
[[la:Molecula]]
[[lmo:Mulecula]]
[[lt:Molekulė]]
[[lv:Molekula]]
[[mk:Молекул]]
[[ml:തന്മാത്ര (രസതന്ത്രം)]]
[[mn:Молекул]]
[[mr:रेणू]]
[[ms:Molekul]]
[[my:မော်လီကျူး]]
[[nds:Molekül]]
[[nl:Molecuul]]
[[nn:Molekyl]]
[[no:Molekyl]]
[[nov:Molekule]]
[[nrm:Molétchule]]
[[oc:Molecula]]
[[os:Молекулæ]]
[[pam:Molecule]]
[[pl:Cząsteczka]]
[[pms:Molécola]]
[[pnb:مالیکیول]]
[[pt:Molécula]]
[[qu:Iñuwa]]
[[ro:Moleculă]]
[[ru:Молекула]]
[[rue:Молекула]]
[[sh:Molekula]]
[[simple:Molecule]]
[[sk:Molekula]]
[[sl:Molekula]]
[[sq:Molekula]]
[[sr:Молекул]]
[[su:Molekul]]
[[sv:Molekyl]]
[[ta:மூலக்கூறு]]
[[th:โมเลกุล]]
[[tk:Molekula]]
[[tl:Mulapik]]
[[tr:Molekül]]
[[tt:Молекула]]
[[ug:مولېكۇلا]]
[[uk:Молекула]]
[[ur:سالمہ]]
[[uz:Molekula]]
[[vi:Phân tử]]
[[war:Molekula]]
[[xal:Молекул]]
[[yi:מאלעקול]]
[[zh:分子]]
[[zh-classical:分子]]
[[zh-min-nan:Hun-chú]]
[[zh-yue:分子]]

Pitio la 13:28, 9 Machi 2013

Molekuli ya sukari. Atomi za kaboni zaonyeshwa kwa rangi ya buluu, za oksijeni nyekundu na za hidrojeni nyeupe.

Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza.

Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.

Muungo atomia

Atomi ndani ya molekuli hushikwa kwa nguvu ya elektroni au muungo atomia. Maungano ya atomi katika molekuli hufuata maumbile ya atomi. Maumbile haya Kwa mfano atomi za hidrojeni huwa na nafasi moja ya kushikana na atomi nyingine, oksijeni huwa na nafasi mbili ya kushikana na atomi nyingine. Kaboni ina nafasi nne na naitrojeni ina nafasi tatu. Hapo ni sababu ya kwamba maji ni molekuli ya H2O yaani hidrojeni ina mkono mmoja na oksijeni ina mikono miwili hivyo atomi moja ya oksijeni ikishika atomi za hidrojeni (yenye mkono moja) mbili ni molekuli thabiti na imara hakuna mkono unaobaki.

Formula

Fomula ya molekuli inaeleza idadi na aina ya atomi ndani ya molekuli. Kwa mfano sukari ina formula ya C6H12O6. Maana yake ni ya kwamba molekuli moja ya sukari huwa na atomi 6 za kaboni, 12 za hidrojeni na sita za oksijeni.

Molekuli na hali maada

Katika gesi molekuli zina uhuru wa kuelea. Katika gimba mango kila molekuli ina mahali pake. Katika kiowevu molekuli zinakaa pamoja lakini ni rahisi kubadilishana nafasi.


Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molekuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.