Mfereji wa Mariana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ur:ماریانا ٹرینچ
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 68 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q510 (translate me)
Mstari 11: Mstari 11:
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari]]


[[ar:خندق ماريانا]]
[[be:Марыянскі жолаб]]
[[bg:Марианска падина]]
[[bn:মারিয়ানা খাত]]
[[bs:Marijanska brazda]]
[[ca:Fossa de les Mariannes]]
[[cs:Mariánský příkop]]
[[da:Marianergraven]]
[[de:Marianengraben]]
[[el:Τάφρος των Μαριανών]]
[[en:Mariana Trench]]
[[eo:Mariana Fosego]]
[[es:Fosa de las Marianas]]
[[et:Mariaani süvik]]
[[eu:Marianetako itsas hobia]]
[[eu:Marianetako itsas hobia]]
[[fa:درازگودال ماریانا]]
[[fi:Mariaanien hauta]]
[[fr:Fosse des Mariannes]]
[[fy:Marianetroch]]
[[gl:Foxa das Marianas]]
[[hak:Mâ-lî-â-na̍p-hói]]
[[he:שקע מריאנה]]
[[hi:मेरियाना गर्त]]
[[hr:Marijanska brazda]]
[[hu:Mariana-árok]]
[[id:Palung Mariana]]
[[is:Maríanadjúpáll]]
[[it:Fossa delle Marianne]]
[[ja:マリアナ海溝]]
[[jv:Palung Mariana]]
[[ka:მარიანას ღარი]]
[[kk:Мариана шұңғымасы]]
[[ko:마리아나 해구]]
[[la:Fossa Mariana]]
[[lt:Marianų lovys]]
[[lt:Marianų lovys]]
[[lv:Marianas dziļvaga]]
[[ml:മരിയാന കിടങ്ങ്]]
[[mn:Марианы хонхор]]
[[mr:मेरियाना गर्ता]]
[[ms:Jurang Mariana]]
[[new:मेरियाना ट्रेञ्च]]
[[nl:Marianentrog]]
[[nn:Marianegropa]]
[[no:Marianergropen]]
[[oc:Fòssa de las Marianas]]
[[pl:Rów Mariański]]
[[pnb:ماریانہ]]
[[pt:Fossa das Marianas]]
[[ro:Groapa Marianelor]]
[[ru:Марианский жёлоб]]
[[sh:Marijanski rov]]
[[si:මරියානා අගාධය]]
[[simple:Mariana Trench]]
[[sk:Mariánska priekopa]]
[[sl:Marianski jarek]]
[[sq:Kanali Mariana]]
[[sr:Маријански ров]]
[[sv:Marianergraven]]
[[ta:மரியானா அகழி]]
[[th:ร่องลึกก้นสมุทรมาเรียนา]]
[[tl:Bambang ng Marianas]]
[[tr:Mariana Çukuru]]
[[tt:Мариан иңкүлеге]]
[[uk:Маріанський жолоб]]
[[ur:ماریانا ٹرینچ]]
[[vi:Rãnh Mariana]]
[[xmf:მარიანაშ რღამილი]]
[[zh:马里亚纳海沟]]
[[zh-classical:馬里亞納海溝]]
[[zh-min-nan:Mariana Hái-kau]]

Pitio la 11:24, 9 Machi 2013

Ramani ya eneo la mfereji wa Mariana

Mfereji wa Mariana ni sehemu ya chini kabisa kwenye uso wa dunia yetu. Ni mfereji wa Bahari ya Pasifiki ambako kina cha maji hufikia mita 10,293 kutoka uso wa bahari hadi msingi wake. Mifereji kwenye misingi ya bahari hulinganishwa pia na mabonde makali au korongo chini ya maji.

Mfereji huu uko kando ya Visiwa vya Mariana karibu na Guam. Ni mahali ambako bamba la Pasifiki hujisukuma chini ya Bamba la Ufilipino.

Sehemu ya chini kabisa ilifikiwa katika historia mara mbili na nyambizi za kisayansi. Mara ya kwanza ilikuwa safari ya chombo cha Trieste cha mchunguzi wa bahari Auguste Piccard tar. 23 Januari 1960 na 1995 Kaiko kutoka Japani.


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.