Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 17 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q361567 (translate me)
Mstari 13: Mstari 13:
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1942]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1942]]

[[ar:محمدو بوهاري]]
[[br:Muhammadu Buhari]]
[[de:Muhammadu Buhari]]
[[en:Muhammadu Buhari]]
[[es:Muhammadu Buhari]]
[[et:Muhammadu Buhari]]
[[fi:Muhammadu Buhari]]
[[fr:Muhammadu Buhari]]
[[hr:Muhammadu Buhari]]
[[ja:ムハンマド・ブハリ]]
[[ms:Muhammadu Buhari]]
[[no:Muhammadu Buhari]]
[[pl:Muhammadu Buhari]]
[[pt:Muhammadu Buhari]]
[[ru:Бухари, Мохаммаду]]
[[sr:Мухамаду Бухари]]
[[yo:Mùhammádù Bùhárí]]

Pitio la 10:51, 9 Machi 2013

Muhammadu Buhari (amezaliwa tar. 17 Desemba 1942) alikuwa kiongozi wa kijeshi, rais (7) wa nchini Nigeria, toka 31 Desemba mwaka 1983 hadi 27 Agosti mwaka 1985. Mnamo tarehe 19 Aprili ya mwaka 2003 alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo, lakini hakuibuka kuwa mshindi.

Muhammadu Buhari alitanguliwa na Shehu Shagari kisha akafuatiwa na Ibrahim Babangida.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muhammadu Buhari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.