Victoria Falls : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pa:ਵਿਕਟੋਰੀਆ ਝਰਨਾ
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 68 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43278 (translate me)
Mstari 20: Mstari 20:
[[Jamii:Mito ya Zimbabwe]]
[[Jamii:Mito ya Zimbabwe]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]

[[af:Victoria-waterval]]
[[ar:شلالات فيكتوريا]]
[[az:Viktoriya şəlaləsi]]
[[be:Вадаспад Вікторыя]]
[[be-x-old:Вікторыя (вадаспад)]]
[[bg:Виктория (водопад)]]
[[ca:Cascades Victòria]]
[[cs:Viktoriiny vodopády]]
[[cv:Виктори (шарлак)]]
[[cy:Rhaeadr Victoria]]
[[da:Victoria Falls]]
[[de:Victoriafälle]]
[[dv:ވިކްޓޯރިއާ ފޯލް]]
[[el:Καταρράκτες Βικτωρίας]]
[[en:Victoria Falls]]
[[eo:Viktoria Akvofalo]]
[[es:Cataratas Victoria]]
[[et:Victoria juga]]
[[eu:Victoria ur-jauziak]]
[[fa:آبشار ویکتوریا]]
[[fi:Victorian putoukset]]
[[fr:Chutes Victoria]]
[[fy:Victoriawetterfallen]]
[[ga:Mosi-oa-Tunya]]
[[he:מפלי ויקטוריה]]
[[hi:विक्टोरिया जलप्रपात]]
[[hr:Viktorijini slapovi]]
[[hu:Viktória-vízesés]]
[[hy:Վիկտորիա (ջրվեժ)]]
[[id:Air terjun Victoria]]
[[ilo:Dissuor Victoria]]
[[is:Viktoríufossar]]
[[it:Cascate Vittoria]]
[[ja:ヴィクトリアの滝]]
[[ka:ვიქტორია (ჩანჩქერი)]]
[[kn:ವಿಕ್ಟೋರಿಯಾ ಜಲಪಾತ]]
[[ko:빅토리아 폭포]]
[[lt:Viktorijos krioklys]]
[[lv:Viktorijas ūdenskritums]]
[[mr:व्हिक्टोरिया धबधबा]]
[[ms:Air terjun Victoria]]
[[nl:Victoriawatervallen]]
[[nn:Victoriafalla]]
[[no:Victoriafallene]]
[[pa:ਵਿਕਟੋਰੀਆ ਝਰਨਾ]]
[[pl:Wodospady Wiktorii]]
[[pnb:وکٹوریہ چھمبر]]
[[pt:Cataratas Vitória]]
[[qu:Ñansa phaqcha]]
[[ro:Cascada Victoria]]
[[ru:Виктория (водопад)]]
[[sh:Viktorijini slapovi]]
[[simple:Victoria Falls]]
[[sk:Viktóriine vodopády]]
[[sl:Viktorijini slapovi]]
[[sn:Victoria Falls]]
[[sq:Ujëvarat e Viktorisë]]
[[sr:Викторијини водопади]]
[[sv:Victoriafallen]]
[[ta:விக்டோரியா அருவி]]
[[te:విక్టోరియా జలపాతం]]
[[th:น้ำตกวิกตอเรีย]]
[[tr:Victoria Şelalesi]]
[[uk:Вікторія (водоспад)]]
[[ur:وکٹوریا آبشار]]
[[vi:Thác Victoria]]
[[war:Busay Victoria]]
[[zh:维多利亚瀑布]]

Pitio la 05:05, 9 Machi 2013

Maporomoka ya Viktoria
Mosi oa Tunya

Victoria Falls au Maporomoko ya Viktoria (Mosi-oa-Tunya) ni maporomoko ya mto Zambezi mpakani wa Zambia na Zimbabwe.

Mwendo wa Zambezi mwenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali ya mwamba mwenye upana wa 120 m pekee. Maporomoko haya ni makubwa katika Afrika.

Wenyeji wameiita "mosi oa tunya" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyiza ya maji yaonekana juu ya maporomoko kama wingu la moshi na sauti ya anguko la maji yasikika mbali.

Jina la Victoria Falls limetokana na David Livingstone aliyekuwa mzungu wa kwanza wa kuona maajabu haya mwaka 1856. Alichagua jina hili kwa heshima ya malkia Viktoria wa Uingereza.

Tangu 1989 Victoria Falls imepokelewa katika orodha la "urithi wa dunia" wa UNESCO.

Utalii

Kuna miji miwili inayopokea wageni wanaopenda kutembelea maporomoko haya. Upande wa Zambia kuna mji wa Livingstone na upande wa Zimbabwe ni mji wa Victoria Falls.

Victoria Falls iliwahi kuwa kitovu hasa lakini tangu kuporomoka kwa uchumi wa Zimbabwe chini ya serikali ya Mugabe idadi kubwa ya watalii hufika upande wa Zambia.