Yohane Hus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza sh:Jan Hus
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza jv:Jan Hus
Mstari 41: Mstari 41:
[[it:Jan Hus]]
[[it:Jan Hus]]
[[ja:ヤン・フス]]
[[ja:ヤン・フス]]
[[jv:Jan Hus]]
[[ka:იან ჰუსი]]
[[ka:იან ჰუსი]]
[[ko:얀 후스]]
[[ko:얀 후스]]

Pitio la 18:19, 6 Machi 2013

Jan Hus.

Yohane Hus (Husinec (Bohemia) 1371 hivi - Konstanz (Ujerumani) 6 Julai 1415 alikuwa mwanateolojia wa Ukristo ambaye alilenga urekebisho wa Kanisa Katoliki kwa kufuata mafundisho ya John Wyclif.

Mwaka 1411 alitengwa na Kanisa na kisha kuhukumiwa na Mtaguso wa Konstanz akachomwa moto kama mzushi.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.