Martin Luther King, Jr. : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza gn:Martin Luther King
Mstari 92: Mstari 92:
[[gd:Martin Luther King, Jr.]]
[[gd:Martin Luther King, Jr.]]
[[gl:Martin Luther King]]
[[gl:Martin Luther King]]
[[gn:Martin Luther King]]
[[he:מרטין לותר קינג]]
[[he:מרטין לותר קינג]]
[[hi:मार्टिन लूथर किंग]]
[[hi:मार्टिन लूथर किंग]]

Pitio la 16:12, 5 Machi 2013

Martin Luther King, Jr.

Dr Martin Luther King, Junior (15 Januari 19294 Aprili 1968) alikuwa mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu, hasa Wanegro.

Maisha

Martin alizaliwa mjini Atlanta, Georgia, Marekani. Alikuwa mtoto wa mzee Martin Luther King Sr. ambaye pia alikuwa kiongozi wa kupigania haki za binadamu.

Mwaka 1964 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani kwa sababu ya kutetea haki bila ya kutumia mabavu. Hata hivyo aliuawa.

Baada ya hapo ujumbe wake ulizidi kukubalika.

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Luther King, Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA