Wilaya ya Busia, Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza ru:Бусиа (округ, Кения)
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha de:Busia District (Kenia) hadi de:Busia County
Mstari 166: Mstari 166:
{{Kenya-geo-stub}}
{{Kenya-geo-stub}}


[[de:Busia District (Kenia)]]
[[de:Busia County]]
[[en:Busia District, Kenya]]
[[en:Busia District, Kenya]]
[[nl:Busia (district in Kenia)]]
[[nl:Busia (district in Kenia)]]

Pitio la 16:26, 4 Machi 2013


Wilaya ya Busia
Mahali paWilaya ya Busia
Mahali paWilaya ya Busia
Mahali pa Wilaya ya Busia katika Kenya
Nchi Kenya
Mkoa Magharibi
Mji mkuu Busia
Eneo
 - Jumla 1,124 km²
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 370,608

Busia ni wilaya katika Mkoa wa Magharibi nchini Kenya. Inapakana na Wilaya ya Kakamega mashariki, Wilaya ya Bungoma kaskazini, Wilaya ya Busia, Uganda upande wa magharibi, na Ziwa Victoria upande wa kusini.

Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na nchi jirani ya Uganda, pamoja na mji wa Busia - makao makuu ya wilaya hii- kituo cha mpakani. Mbali na mji, uchumi wa wilaya hutegemea sana uvuvi na kilimo, mazao msingi yakiwemo pamoja na mihogo, mtama, viazi vitamu, maharagwe, na mahindi.

Wilaya ya Busia ni makao ya kabila la Waluhya nchini Kenya ambao wanapatikana hasa katika sehemu za Magharibi mwa Kenya. Wilaya hii ina wakazi 370,608 (1999 sensa).

Mamlaka za Mitaa (Halmashauri)
Mamlaka Aina Idadi ya Watu Wakazi wa mjini*
Busia Manispaa 44,766 30,777
Funyula Manispaa 18,043 1,242
Nambale Mji 26,168 1,005
Port Victoria Mji 18,472 5,917
Manispaa ya Busia Manispaa 263,159 5,516
Jumla -- 370,608 44,457
* 1999 census. Source: [1]
Maeneo ya utawala
Tarafa Idadi ya Watu Wakazi wa mjini* Makao makuu
Budalangi 53,356 5,417
Butula 95,489 4,805 Butula
Funyula 73,875 1,106 Funyula
Matayos 56,186 0 Matayos
Nambale 67,544 0 Nambale
Township 25,158 15,695 Busia
Jumla 370,608 27,022 --
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Wilaya ya Busia ina maeneo bunge manne:

Tazama Pia

Marejeo

Viungo vya nje

Coordinates: 0°26′N 34°9′E / 0.433°N 34.150°E / 0.433; 34.150

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Busia, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.