Jimmy Wales : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Minor fix using AWB
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza mk:Џими Велс
Mstari 81: Mstari 81:
[[mg:Jimmy Wales]]
[[mg:Jimmy Wales]]
[[min:Jimmy Wales]]
[[min:Jimmy Wales]]
[[mk:Џими Велс]]
[[ml:ജിമ്മി വെയിൽ‌സ്]]
[[ml:ജിമ്മി വെയിൽ‌സ്]]
[[mn:Жимми Уэйлс]]
[[mn:Жимми Уэйлс]]

Pitio la 13:20, 4 Machi 2013

Wales akizungumza katika mkutano wa Wikimania wa mwaka wa 2007.

Jimmy "Jimbo" Donal Wales (amezaliwa tar. 7 Agosti 1966) ni mwanzilishi na ni rais wa sasa wa Wikimedia Foundation. Anafahamika zaidi kama mwanzilishi wa kamusi elezo huru ya Wikipedia. Kwa sasa anaishi mjini St. Petersburg, Florida.

Hapo awali aliunda kamusi elezo huru ya kwanza iliyojulikana kwa jina la Nupedia. Kisha baadaye akaanzisha mradi mpya wa Wikipedia, ambayo hapo mwanzo ulibidi uwe katika moja kati ya mradi wa Nupedia. Badala yake mradi mpya wa Wikipedia ukapata shauku zaidi na ukaja kuwa miongoni mwa miradi mikubwa mtandaoni kama ulivyo leo hii.

Kigezo:Link FA