Tel Aviv : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza zea:Tel Aviv
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ext:Tel Aviv
Mstari 49: Mstari 49:
[[et:Tel Aviv]]
[[et:Tel Aviv]]
[[eu:Tel Aviv]]
[[eu:Tel Aviv]]
[[ext:Tel Aviv]]
[[fa:تل‌آویو]]
[[fa:تل‌آویو]]
[[fi:Tel Aviv]]
[[fi:Tel Aviv]]

Pitio la 10:31, 4 Machi 2013

Uso wa Tel Aviv-Yafa upande wa pwani

Tel Aviv-Yafa (Kiebrania תֵּל־אָבִיב-יָפו}};Kar.تَلْ أَبِيبْ-يَافَا) ni mji mkubwa wa pili nchini Israel mwenye wakazi 380,000. Rundiko la mji kuna watu zaidi ya milioni 3. Mji uko kando la bahari ya Mediteranea.

Mji ulitokea kutokana na maungano ya miji ya Yafa na Tel Aviv mwaka 1949 baada ya vita ya Kiarabu-Kisraeli ya 1948. Wakati ule Tel Aviv ilikuwa mji mkubwa na Yafa ilibaki na watu wachache tu baada ya kukimbia kwa wakazi Waarabu wengi vitani.

Tel Aviv ilianzishwa kando la mji wa kale wa Yafa mwaka 1909 na Wayahudi waliohamia Palestina kutoka Ulaya. Mwanzoni ilikuwa kitengo tu cha Yafa kilichojitawala lakini kiliendelea kukua haraka kuchinda mji wa kale kikawa manisipaa mwaka 1934.

Wakati wa utawala wa Uingereza Tel Aviv ilikuwa kitovu cha maisha ya Kiyahudi katika Palestina. Hadi leo Tel Aviv-Yafa ni kitovu cha kiutamaduni na kiuchumi wa nchi ya Israel.

Viungo vya Nje

Official website

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tel Aviv kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tel Aviv kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA