Jimbo Katoliki la Mbulu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza ru:Епархия Мбулу
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza zh:天主教姆布盧教區
Mstari 33: Mstari 33:
[[it:Diocesi di Mbulu]]
[[it:Diocesi di Mbulu]]
[[ru:Епархия Мбулу]]
[[ru:Епархия Мбулу]]
[[zh:天主教姆布盧教區]]

Pitio la 20:56, 27 Februari 2013

Jimbo katoliki la Mbulu (kwa Kilatini Dioecesis Mbuluensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.

Askofu wake ni Beatus Kinyaiya.

Historia

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 16,057, ambapo kati ya wakazi 995,000 (2006) Wakatoliki ni 269,620 (27.1%).

Viungo vya nje