Jimbo Katoliki la Kigoma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza ru:Епархия Кигомы
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza zh:天主教基戈馬教區
Mstari 37: Mstari 37:
[[it:Diocesi di Kigoma]]
[[it:Diocesi di Kigoma]]
[[ru:Епархия Кигомы]]
[[ru:Епархия Кигомы]]
[[zh:天主教基戈馬教區]]

Pitio la 20:55, 27 Februari 2013

Jimbo katoliki la Kigoma (kwa Kilatini Dioecesis Kigomaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Tabora.

Askofu wake ni Protase Rugambwa.

Historia

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 42,000, ambapo kati ya wakazi 1,901,000 (2006) Wakatoliki ni 456,765 (24.0%).

Viungo vya nje