Grenada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d update
d r2.7.2) (Boti: Inarbadilisha ga:Grenada (Tír) hadi ga:Greanáda
Mstari 111: Mstari 111:
[[frr:Grenaada]]
[[frr:Grenaada]]
[[fy:Grenada]]
[[fy:Grenada]]
[[ga:Grenada (Tír)]]
[[ga:Greanáda]]
[[gd:Greanada]]
[[gd:Greanada]]
[[gl:Granada - Grenada]]
[[gl:Granada - Grenada]]

Pitio la 15:14, 27 Februari 2013

Grenada


Grenada ni nchi ya kisiwani katika kusini ya Bahari ya Karibi. Iko kaskazini ya Trinidad na Tobago na kusini ya Saint Vincent. Ni nchi mwanachama wa jumuiya ya madola na mkuu wa Dola ni malkia Elisabeth II wa Uingereza anayewakilishwa kisiwani kwa Gavana Mkuu.

Wakazi walio wengi (zaidi ya 80%) ni wa asili ya kiafrika wametokana na watumwa waliopelekwa hapa kulima mashamba ya miwa au ni chotara wa watumwa wale na mabwana Wafaransa.

Jiografia

Neo la nchi ni kisiwa kikuu cha Grenada pamoja na visiwa kadhaa za funguvisiwa ya Grenadini kama vile Carriacou, Petit Martinique, Rhonde Island na vingine vidogo. Idadi kubwa ya wakazi iko Grenada penyewe pamoja na miji ya St. George's (mji mkuu), Grenville na Gouyave.

Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno vyenye ardhi yenye rutba. Grenada ina milima na mkubwa ni mlima St. Catherine mwenye 840 m.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Grenada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.