Jimbo Katoliki la Geita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (Roboti: Imeongeza zh:天主教盖塔教區
d r2.7.3rc2) (Boti: Inarbadilisha zh:天主教盖塔教區 hadi zh:天主教盖塔教区
Mstari 25: Mstari 25:
[[it:Diocesi di Geita]]
[[it:Diocesi di Geita]]
[[ru:Епархия Гейты]]
[[ru:Епархия Гейты]]
[[zh:天主教盖塔教]]
[[zh:天主教盖塔教]]

Pitio la 14:56, 27 Februari 2013

Jimbo katoliki la Geita (kwa Kilatini Dioecesis Geitaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.

Askofu wake ni Damian Dalu.

Historia

  • 1984: Kuanzishwa kwa Jimbo katoliki la Geita kutokana na jimbo ya Mwanza

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).

Viungo vya nje