Jimbo Katoliki la Mbinga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ru:Епархия Мбинги
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza zh:天主教姆賓加教區
Mstari 25: Mstari 25:
[[it:Diocesi di Mbinga]]
[[it:Diocesi di Mbinga]]
[[ru:Епархия Мбинги]]
[[ru:Епархия Мбинги]]
[[zh:天主教姆賓加教區]]

Pitio la 08:56, 27 Februari 2013

Jimbo katoliki la Mbinga (kwa Kilatini Dioecesis Mbingaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni John Chrisostom Ndimbo.

Historia

  • 1986: Kuanzishwa kwa jimbo ya Mbinga kutokana na jimbo ya Songea

Uongozi

  • Maaskofu wa Mbinga

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 11,400, ambapo kati ya wakazi 524,945 (2006) Wakatoliki ni 392,871 (74.8%).

Viungo vya nje