Diego Velázquez : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza mk:Диего Веласкез
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Diego Velázquez.jpg|thumb|right|Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630]]
[[Picha:Portrait d'homme (Diego Velázquez, 1630).jpg|thumb|right|Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630]]
'''Diego Velázquez''' (Juni [[1599]] - [[6 Agosti]] [[1660]]) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa [[karne ya 17]].
'''Diego Velázquez''' (Juni [[1599]] - [[6 Agosti]] [[1660]]) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa [[karne ya 17]].



Pitio la 13:27, 26 Februari 2013

Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630

Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.

Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.

Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.

Mifano ya taswira zake

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Velázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA