Fernando Sancho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Fernando Sancho
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:22, 1 Novemba 2007

Fernando Sancho.

Fernando Sancho (Alizaliwa tar. 7 January ya mwaka wa 1916, akafariki dunia tar. 31 Julai ya mwaka wa 1990) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Hispania. Sancho alizaliwa mjini Zaragoza, Aragón, Hispania, akaja kuiaga dunia mjini Madrid baada ya kufanyiwa upasuaji. Fernando pia aliwahi kuonekana katika filamu za western, ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota Richard Harrison.

Viungo vya Nje