Diego Velázquez : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza zh-yue:委拉斯蓋茲 |
d Roboti: Imeongeza mk:Диего Веласкез |
||
Mstari 92: | Mstari 92: | ||
[[lv:Djego Velaskess]] |
[[lv:Djego Velaskess]] |
||
[[mhr:Диего Веласкес]] |
[[mhr:Диего Веласкес]] |
||
[[mk:Диего Веласкез]] |
|||
[[ml:ഡിയെഗോ വെലാസ്ക്വെസ്]] |
[[ml:ഡിയെഗോ വെലാസ്ക്വെസ്]] |
||
[[mn:Диего Веласкес]] |
[[mn:Диего Веласкес]] |
Pitio la 00:11, 24 Februari 2013
Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.
Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.
Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.
Mifano ya taswira zake
-
Juan de Pareja (1650)
-
Sehemu ya Las Meninas (Velázquez mwenyewe)
-
Mama Mzee akichoma mayai ; 1618
-
Papa Innocent X
-
Mfalme Filipo IV
-
Las Meninas, 1656
-
Mji wa Breda wajisalimisha kwa jeshi la Hispania
-
Wafalme au mamajusi wa Mashariki wamwabudu mtoto Yesu
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego Velázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA