Hija : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza et, he, li, nrm
d Roboti: Imeongeza hu:Zarándoklat
Mstari 33: Mstari 33:
[[hi:तीर्थ]]
[[hi:तीर्थ]]
[[hr:Hodočašće]]
[[hr:Hodočašće]]
[[hu:Zarándoklat]]
[[ia:Pelegrinage]]
[[ia:Pelegrinage]]
[[id:Ziarah]]
[[id:Ziarah]]

Pitio la 14:16, 22 Februari 2013

Hija ni safari inayofanyika kwa sababu ya dini, ikilenga patakatifu fulani.

Kwa maana ya kiroho, maisha yote ni safari ya kumuelekea Mungu au uzima wa milele n.k.

Desturi ya kuhiji iko katika dini mbalimbali.

Kiasili neno "hija" ilimaanisha pekee safari ya Waislamu kwenda Makka kwa saababu katika utamaduni wa Waswahili hili lilikuwa safari ya kidini pekee yenye jina maalumu. Lakini Wakristo wamepokea neno hili pia kwa safari zao za kiroho na siku hizi inatumiwa kwa kutaja safari za aina hii kwa jumlakati ya dini zote.