Yosefu wa Leonesa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|right|Mt. [[Fidelis wa Sigmaringen na Mt. Yosefu wa Leonesa walivyochorwa na Giovanni Battista Tiepo...'
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:

'''Yosefu wa Leonesa, [[O.F.M. Cap.]]''', ([[jina la kitawa]] kwa [[Kiitalia]] Giuseppe da Leonessa, jina la awali Eufranio Desiderio)
'''Yosefu wa Leonesa, [[O.F.M. Cap.]]''', ([[jina la kitawa]] kwa [[Kiitalia]] Giuseppe da Leonessa, jina la awali Eufranio Desiderio)
aliishi zaidi nchini [[Italia]] ([[1556]] – [[4 Februari]] [[1612]]) na anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]].
aliishi zaidi nchini [[Italia]] ([[8 Januari]] [[1556]] – [[4 Februari]] [[1612]]) na anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]].

[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.
Mstari 12: Mstari 12:

Kama [[mtawa]] alishika sana matendo ya [[toba]] na kujinyima.
Kama [[mtawa]] alishika sana matendo ya [[toba]] na kujinyima.

Alipata [[upadrisho]] tarehe [[24 Septemba]] [[1580]].

Mwaka [[1587]] [[Mtumishi mkuu]] wa shirika lake alimtuma [[Konstantinopoli]] ili kuhudumia [[Wakristo]] waliotekwa na kutumikishwa huko. [[Ufukara]] wake na wa wenzake ulivuta [[Waturuki]] wengi waende kuwaona, naye alikuwa akihubiri mjini kila siku hadi alipokamatwa na kufungwa hadi alipoachiliwa kwa juhudi za watu wa [[Venezia]].

Mstari 17: Mstari 19:
Alifikia hatua ya kujaribu kuingia katika [[ikulu]] la [[sultani]] [[Murad III]], lakini alikamatwa tena na kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]]. Kwa siku tatu aling'ing'inia [[msalaba]]ni hadi (inavyosemekana) alipofunguliwa na [[malaika]] na kurudishwa Italia.

Hapo akaanza kazi ya kuhubiri katika wilaya yake hadi mara 6 au 7 kwa siku hadi alipofariki huko [[Amatrice]] mwaka 1612.
Hapo akaanza kazi ya kuhubiri katika [[kanda]] yake hadi mara 6 au 7 kwa siku, pamoja na kuanzisha [[huduma]] mbalimbali za kijamii, hadi alipofariki huko [[Amatrice]] mwaka 1612.

Alitangazwa na [[Papa Klementi XII]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[22 Juni]] [[1737]], halafu [[Papa Benedikto XIV]] alimtangaza mtakatifu tarehe [[29 Juni]] [[1746]].

==Marejeo==
Alitangazwa mtakatifu na [[Papa Benedict XIV]] mwaka [[1746]].
*Giuseppe Maria Guglielmi, S. Giuseppe da Leonessa predicatore cappuccino in Otricoli. Appunti e memorie, Roma, Tipografia arte e lavoro, 1919.

==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/cathen/08521b.htm Joseph of Leonessa] at the [[Catholic Encyclopedia]]
*[http://www.newadvent.org/cathen/08521b.htm Joseph of Leonessa] at the [[Catholic Encyclopedia]]
*{{BBKL|j/joseph_v_le|band=15|autor= Johannes Madey|artikel=Joseph von Leonessa|spalten=774–776}}
*[http://penelope.uchicago.edu/Thayer/E/Gazetteer/Places/Europe/Italy/Lazio/Rieti/Leonessa/Leonessa/churches/S.Giuseppe/home.html S. Giuseppe of Leonessa] at Thayer's Gazetteer
*[http://penelope.uchicago.edu/Thayer/E/Gazetteer/Places/Europe/Italy/Lazio/Rieti/Leonessa/Leonessa/churches/S.Giuseppe/home.html S. Giuseppe of Leonessa] at Thayer's Gazetteer

Pitio la 11:56, 22 Februari 2013

Mt. Fidelis wa Sigmaringen na Mt. Yosefu wa Leonesa walivyochorwa na Tiepolo.

Yosefu wa Leonesa, O.F.M. Cap., (jina la kitawa kwa Kiitalia Giuseppe da Leonessa, jina la awali Eufranio Desiderio) aliishi zaidi nchini Italia (8 Januari 15564 Februari 1612) na anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Maisha

Alizaliwa Leonessa, mji mdogo wa Italia ya Kati, na alionyesha mapema mwelekeo mkubwa kwa mambo ya dini, hata kujipiga mijeledi siku ya Ijumaa ili kushiriki mateso ya Yesu.

Kinyume cha matarajio ya mlezi wake aliyetaka aoe, alipofikia umri wa miaka 16 alijiunga na uerekebisho wa Ndugu Wadogo ulioitwa wa Wakapuchini akawa mnovisi huko Carcerelle karibu na Assisi.

Kama mtawa alishika sana matendo ya toba na kujinyima.

Alipata upadrisho tarehe 24 Septemba 1580.

Mwaka 1587 Mtumishi mkuu wa shirika lake alimtuma Konstantinopoli ili kuhudumia Wakristo waliotekwa na kutumikishwa huko. Ufukara wake na wa wenzake ulivuta Waturuki wengi waende kuwaona, naye alikuwa akihubiri mjini kila siku hadi alipokamatwa na kufungwa hadi alipoachiliwa kwa juhudi za watu wa Venezia.

Alifikia hatua ya kujaribu kuingia katika ikulu la sultani Murad III, lakini alikamatwa tena na kuhukumiwa adhabu ya kifo. Kwa siku tatu aling'ing'inia msalabani hadi (inavyosemekana) alipofunguliwa na malaika na kurudishwa Italia.

Hapo akaanza kazi ya kuhubiri katika kanda yake hadi mara 6 au 7 kwa siku, pamoja na kuanzisha huduma mbalimbali za kijamii, hadi alipofariki huko Amatrice mwaka 1612.

Alitangazwa na Papa Klementi XII kuwa mwenye heri tarehe 22 Juni 1737, halafu Papa Benedikto XIV alimtangaza mtakatifu tarehe 29 Juni 1746.

Marejeo

  • Giuseppe Maria Guglielmi, S. Giuseppe da Leonessa predicatore cappuccino in Otricoli. Appunti e memorie, Roma, Tipografia arte e lavoro, 1919.

Viungo vya nje