Maginetiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be-x-old:Магнэтыт
kielekezo feri> chuma
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Chalcopyrite-Magnetite-cktsr-10c.jpg|thumb|220px|Maginetiti kutoka Afrika Kusini]]
[[Picha:Chalcopyrite-Magnetite-cktsr-10c.jpg|thumb|220px|Maginetiti kutoka Afrika Kusini]]
'''Maginetiti''' ni [[madini]] yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya [[sumaku]]. Kikemia ni oksidi ya [[feri|chuma]] yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe<sup>3+</sup><sub>2</sub>Fe<sup>2+</sup>O<sub>4</sub>.
'''Maginetiti''' ni [[madini]] yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya [[sumaku]]. Kikemia ni oksidi ya [[feri (chuma)]] yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe<sup>3+</sup><sub>2</sub>Fe<sup>2+</sup>O<sub>4</sub>.

Inatokea mara nyingi kwa umbo la [[fuwele]] zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneza chuma.
Inatokea mara nyingi kwa umbo la [[fuwele]] zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneza chuma.

Pitio la 11:11, 21 Februari 2013

Maginetiti kutoka Afrika Kusini

Maginetiti ni madini yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya sumaku. Kikemia ni oksidi ya feri (chuma) yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe3+2Fe2+O4.

Inatokea mara nyingi kwa umbo la fuwele zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneza chuma.

Viungo vya Nje