Msumari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza chy:Toóneohëö'o
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha tr:Çivi (gereç) hadi tr:Çivi
Mstari 80: Mstari 80:
[[th:ตะปู]]
[[th:ตะปู]]
[[tl:Pako (pangkabit)]]
[[tl:Pako (pangkabit)]]
[[tr:Çivi (gereç)]]
[[tr:Çivi]]
[[uk:Цвях]]
[[uk:Цвях]]
[[vi:Đinh]]
[[vi:Đinh]]

Pitio la 00:50, 19 Februari 2013

Misumari
Msumari katika ubao

Msumari (pia: msumali) ni nondo nyembamba ya chuma au feleji yenye ncha na kichwa. Inatumiwa kwa kufunga kitu juu ya kitu kingine.

Kwa kawaida hupigwa kwa kutumia nyundo na hivyo kuingizwa katika ubao au ukutani.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msumari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.