Rukia yaliyomo

Papa Alexander VI : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
Minor fix using AWB
d (r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha tl:Alejandro VI hadi tl:Papa Alejandro VI)
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa Alexander VI]]
 
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]], [[1431]] – [[18 Agosti]], [[1503]]) alikuwa [[papa]] kuanzia [[11 Agosti]], [[1492]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Innocent VIII]] akafuatwa na [[Papa Pius III]].
 
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Borgia'''. Alikuwa papa wa pili kutoka familia ya Borgia. [[Callixtus III]] aliyekuwa Borgia wa kwanza alimsaidia mpwa wake Roderic kupanda ngazi ndani ya kanisa. Kijana asiyekuwa na mafunzo wowote wa kiroho asiyepokea ubarikio wa upadre bado alipewa cheo na mapato ya askofu mara kadhaa katika dayosisi mbalimbali. 1456 alipewa cheo cha kardinali na 1458 akapadrishwa.
 
Alizaa watoto na mke wake wa kando Vannozza dei Cattani akaendelea kuwaangalia na kuwatunza hata alipokuwa papa. Arusi ya binti yake Lucrecia Borgia ilisheherekewa rasmi katika jumba la kipapa la [[Vatikano]].
 
Lakini kabla hajachaguliwa kuwa papa alimwacha Vannozza akaanza uhusiano na binti Giulia Farnese aliyezaa binti naye mwaka 1492 alipokuwa papa.
9,542

edits