Nash Aguas : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d usafishaji mdogomdogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Minor fix using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
| picha = Nash aguas.jpg
| picha = Nash aguas.jpg
| ukubwa wa picha = 200px
| ukubwa wa picha = 200px
| maelezo =
| maelezo =
| kazi yake = [[Mwigizaji]]
| kazi yake = [[Mwigizaji]]
| miaka ya kazi = 2004–hadi leo
| miaka ya kazi = 2004–hadi leo
Mstari 9: Mstari 9:
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1998|10|10|df=yes}}
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1998|10|10|df=yes}}
| mahala pa kuzaliwa = [[Ufilipino]]
| mahala pa kuzaliwa = [[Ufilipino]]
| jina lingine =
| jina lingine =
| tovuti =
| tovuti =
}}
}}
'''Nash Aguas''' (amezaliwa kama '''Aeign Zackrey Aguas''' mnamo tar. [[10 Oktoba]], [[1998]]) ni [[mwigizaji]] wa [[filamu]] na [[televisheni]]-mtoto kutoka nchini [[Ufilipino]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama ''Peping'' katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha [[Ufilipino|Kifilipino]] maarufu kama [[Gulong ng Palad]].
'''Nash Aguas''' (amezaliwa kama '''Aeign Zackrey Aguas''' mnamo tar. [[10 Oktoba]] [[1998]]) ni [[mwigizaji]] wa [[filamu]] na [[televisheni]]-mtoto kutoka nchini [[Ufilipino]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama ''Peping'' katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha [[Ufilipino|Kifilipino]] maarufu kama [[Gulong ng Palad]].

==Wasifu==
==Wasifu==
===Shughuli===
===Shughuli===
Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa [[MTB]] kupitia [[:en:F4|Batang F4]].<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}</ref> Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha [[ABS-CBN]] maarufu kama [[Star Circle Quest|Star Circle Kid Quest]], ambamo alijiigiza kama ''[[Mr. Suave]] Mdogo''.<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}]</ref>

Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za ''Bibbo Kid Of The Week'' mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la '''''Grand Kid Questor''''' na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.<ref name="Bulilit"/>.

Mstari 92: Mstari 92:
| Happily Ever After
| Happily Ever After
| Leeboy
| Leeboy
|
|
|-
|-
| 2006
| 2006
Mstari 127: Mstari 127:

==Tuzo==
==Tuzo==

* 2006 ''[[Metro Manila Film Festival]]'', '''Mwigizaji Bora wa Kitoto''' kwa kucheza katika ''Shake, Rattle & Roll 8'': ''"Yaya"'' <ref name="Pep 2">{{cite web | url=http://www.pep.ph/guide/1290/Shake,-Rattle-and-Roll-9-frightens-the-public-anew-December-25-/1 | title="Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25 | accessdate=2008-06-29 | work=Entertainment Guide/Movies | author=Dimaculangan, Jocelyn | publisher=The Philippine Entertainment Portal | date=2008-07-11}}</ref>

==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Marejeo}}

==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
* {{imdb name|id=1758562|name=Nash Aguas}}
* {{IMDb name|id=1758562|name=Nash Aguas}}

{{DEFAULTSORT:Aguas, Nash}}
{{DEFAULTSORT:Aguas, Nash}}

Pitio la 01:37, 15 Februari 2013

Nash Aguas

Amezaliwa Aeign Zackrey Aguas
10 Oktoba 1998 (1998-10-10) (umri 25)
Ufilipino
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 2004–hadi leo

Nash Aguas (amezaliwa kama Aeign Zackrey Aguas mnamo tar. 10 Oktoba 1998) ni mwigizaji wa filamu na televisheni-mtoto kutoka nchini Ufilipino. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Peping katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kifilipino maarufu kama Gulong ng Palad.

Wasifu

Shughuli

Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa MTB kupitia Batang F4.[1] Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha ABS-CBN maarufu kama Star Circle Kid Quest, ambamo alijiigiza kama Mr. Suave Mdogo.[1]

Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za Bibbo Kid Of The Week mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la Grand Kid Questor na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.[1].

Filamu

Televisheni

Mwaka Jina Jina aliliotumia Mtandao
2004 Star Circle Quest kama jina lake/mshindani ABS-CBN
Mga Anghel Na Walang Langit ABS-CBN
2005 Gulong ng Palad Peping ABS-CBN
2005-present Goin' Bulilit kama jina lake ABS-CBN
2006 Calla Lily Terrence ABS-CBN
Komiks Presents: Vulcan 5 Boyet ABS-CBN
Komiks Presents: Inday sa Balitaw Boyong ABS-CBN
2007 Maria Flordeluna Reneboy Alicante ABS-CBN
Sineserye Presents: Natutulog Ba Ang Diyos? Mark mdogo ABS-CBN
2008 Lobo Tikboy ABS-CBN

Filamu za kawaida

Mwaka Jina Jina alilotumia Kampuni
2005 Hari ng Sablay Jay-jay
Happily Ever After Leeboy
2006 Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" Benjo Regal Films
2007 Shake, Rattle and Roll 9: "Christmas Tree" Stephen Regal Films
Angels
Tiyanaks Biboy
2008 Dayo Sauti ya Bubuy
2009[2] Land Down Under TBA

Muziki

Albamu ya Dansi

  • Jump Around: Albamu ya Dansi ya Watoto ya Moose Gear[3]

Tuzo

Marejeo

  1. 1.0 1.1 1.2 Nash Aguas. Bulilit Spotlight. Goin' Bulilit Online. Iliwekwa mnamo 2008-06-29. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; name "Bulilit" defined multiple times with different content
  2. Salut, Eric John (2008-11-03). Staff ng ‘The Buzz,’ pumalag sa ‘Showbiz Central’ (Tagalog). People's Tonight. Journal Online. Iliwekwa mnamo 2008-11-04.
  3. Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). PEP Promo: "Moose Kids dance album". Entertainment Guide/Music. The Philippine Entertainment Portal. Iliwekwa mnamo 2008-06-29.
  4. Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). "Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25. Entertainment Guide/Movies. The Philippine Entertainment Portal. Iliwekwa mnamo 2008-06-29.

Viungo vya Nje