Mkoa wa Magharibi (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza eo:Okcidenta provinco de Kenjo
Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
{{mergefrom|Mkoa wa Magharibi|date=date=July 2010}}
{{Mergefrom|Mkoa wa Magharibi|date=date=Julai 2010}}
{{otheruses|Mkoa wa Magharibi}}
{{Otheruses|Mkoa wa Magharibi}}
{| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
{| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|+'''Mikoa ya Kenya''' <br /> <big>'''Mkoa wa Magharibi<br />Western Province'''</big>
|+'''Mikoa ya Kenya''' <br /> <big>'''Mkoa wa Magharibi<br />Western Province'''</big>
Mstari 20: Mstari 20:
|-
|-
|'''Lugha mkoani'''
|'''Lugha mkoani'''
| [[Kiluhya]]
| [[Kiluhya]]
|-
|-
| colspan=2 align=right style="padding: 0 5px 0 5px" |
| colspan=2 align=right style="padding: 0 5px 0 5px" |
|}
|}


Mstari 34: Mstari 34:


== Wilaya ==
== Wilaya ==
Kuna wilaya nane mkoani:
Kuna wilaya nane mkoani:
{| class="prettytable"
{| class="prettytable"
! Wilaya !! Makao makuu
! Wilaya !! Makao makuu
|-
|-

Pitio la 00:52, 15 Februari 2013

Mikoa ya Kenya
Mkoa wa Magharibi
Western Province
Mahali pa Mkoa wa Kati
Makao Makuu Kakamega
’‘‘Mji Mkubwa’’’ Kakamega
Eneo

- Jumla
Nafasi ya 7 kati ya mikoa ya Kenya
8,285 km²
Wakazi


 - Jumla (2007)  - Msongamano wa watu / km²
Nafasi ya 5 kati ya mikoa ya Kenya
3,569,400
431/km²
Lugha mkoani Kiluhya

Mkoa wa Magharibi (Western Province) ni mkoa mdogo kati ya mikoa ya Kenya ni pia mkoa mwenye msongamano mkubwa wa watu. Umepakana na Uganda na mikoa ya Kenya ya Nyanza na Bonde la Ufa.

Eneo lake ni 8,285 km² pekee kuna wakazi 3,569,400 hivyo hukaa zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya (Waluhya). Mji mkuu ni Kakamega.

Nchi ya mkoa limeenea kutoka vilima vya Bungoma mpakani wa Uganda hadi tambarare karibu na Ziwa Viktoria. Mlima mkubwa wa pili wa Kenya ni Mlima Elgon uko ndani ya mkoa kwenye mpaka wa Uganda. Msitu wa Kakamega ni kati ya misitu asilia ya mwisho wa Kenya.

Uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa ni kilimo. Pamoja na kilimo cha kujikimu kuna pia mashamba makubwa ya chai na miwa. Kilimo na maliaili ni msingi wa viwanda vikubwa kama vile kiwanda cha sukari cha Mumias au kiwanda cha karatasi cha Webuye. Hata hivyo idadi kubwa ya wakazi ni maskini na wanaume wengi wameenda Nairobi au kwenye hoteli za pwani kwa kazi ya ajira.

Wilaya

Kuna wilaya nane mkoani:

Wilaya Makao makuu
Bungoma Bungoma
Busia Busia
Butere/Mumias Butere
Kakamega Kakamega
Lugari Lugari
Mlima Elgon Kapsokwony
Teso Malaba
Vihiga Vihiga