|
|
'''Joseph II''' ([[13 Machi]], [[1741]] – [[20 Februari]], [[1790]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Ujerumani]] kuanzia [[1765]] hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, [[Kaizari Francis I|Francis I]], na kufuatiwa na [[Kaizari Leopold II|Leopold II]].
{{mbeguMbegu-Kaizari-Ujerumani}}
{{DEFAULTSORT:Joseph II}}
|