James Kirkwood : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: fr:James Kirkwood Jr.
Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]], [[1924]] – [[21 Aprili]], [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya igizo hilo.
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]] [[1924]] – [[21 Aprili]] [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya igizo hilo.


{{DEFAULTSORT:Kirkwood, James}}
{{DEFAULTSORT:Kirkwood, James}}
Mstari 7: Mstari 7:
[[Category:Tuzo ya Pulitzer]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer]]


{{mbegu-mwandishi}}
{{Mbegu-mwandishi}}


[[en:James Kirkwood, Jr.]]
[[en:James Kirkwood, Jr.]]

Pitio la 22:59, 14 Februari 2013

James Kirkwood (22 Agosti 192421 Aprili 1989) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na Nicholas Dante, igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza A Chorus Line lililotolewa 1975. Mwaka wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya igizo hilo.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.