Rukia yaliyomo

Hilarión Daza : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
Minor fix using AWB
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza sco:Hilarión Daza)
(Minor fix using AWB)
'''Hilarión Daza Groselle''' ([[14 Januari]], [[1840]] - [[27 Februari]], [[1894]]) alikuwa Rais wa [[Bolivia]] kuanzia tarehe [[4 Mei]], [[1876]] hadi [[28 Desemba]], [[1879]] alipofukuzwa kutoka utawala na kufuatwa na [[Narciso Campero]]. Daza mwenyewe alihamia [[Ufaransa]], na alipojaribu kurudi Bolivia mwaka wa 1894 akauawa kwenye kituo cha treni mjini [[Uyuni, Bolivia|Uyuni]] moja kwa moja.
 
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1840|1894|Daza, Hilarion}}
[[Jamii:Marais wa Bolivia]]
9,529

edits