Chama cha Mapinduzi : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Chama cha Mapinduzi |
Minor fix using AWB |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni chama tawala nchini [[Tanzania]]. CCM ilizaliwa [[5 Februari]] |
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni chama tawala nchini [[Tanzania]]. CCM ilizaliwa [[5 Februari]] [[1977]] baada ya kuungana kwa vyama vya [[Tanganyika African National Union]] (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na [[Afro-Shirazi Party]] (ASP) kilichokuwa chama tawala cha [[Zanzibar]] wakati huo. Chama cha Mapinduzi kilikuwa kikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]] na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya [[Amaan Karume]]. |
||
== Itikadi == |
== Itikadi == |
||
Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya [[Ujamaa na Kujitegemea]]. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa [[Azimio la Arusha]]. Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hii pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa. |

== Uchaguzi == |
== Uchaguzi == |
||
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]]. Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, na 2005. |

== Uongozi == |
== Uongozi == |
||
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne: |
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne: |
||
* [[Julius Nyerere]], 1977 - 1990, |
* [[Julius Nyerere]], 1977 - 1990, |
||
* [[Ali Hassan Mwinyi]] 1990 - 1996 |
* [[Ali Hassan Mwinyi]] 1990 - 1996 |
||
* [[Benjamin Mkapa]] 1995 - 2005, |
* [[Benjamin Mkapa]] 1995 - 2005, |
||
* [[Jakaya Kikwete]] 2006 - |
* [[Jakaya Kikwete]] 2006 - |
||
== Viungo vya nje == |
== Viungo vya nje == |
Pitio la 20:40, 14 Februari 2013
Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania. CCM ilizaliwa 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha Mapinduzi kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.
Itikadi
Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha. Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hii pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.
Uchaguzi
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi. Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, na 2005.
Uongozi
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:
- Julius Nyerere, 1977 - 1990,
- Ali Hassan Mwinyi 1990 - 1996
- Benjamin Mkapa 1995 - 2005,
- Jakaya Kikwete 2006 -