Benn Haidari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Minor fix using AWB
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]], [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia [[Ufini]] 1968.
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]] [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia [[Ufini]] 1968.

Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandinavia]] mnamo mwaka 1988.

Mstari 7: Mstari 7:
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.

Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.
Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.

Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.
Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.

Toleo la sasa la 20:29, 14 Februari 2013

Benn Haidari ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko Ngazija visiwa vya Komoro. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua Zanzibar mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia Ufini 1968.

Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye visiwa vya Aland huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za Skandinavia mnamo mwaka 1988.

Filamu yake ya kwanza ni Pengine nitakuwa mpishi wa pizza na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya dunia pamoja na mapishi ya kizanzibari, k.m. Samaki wa kupaka na Mkate wa kusukuma.

Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.

Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.

Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari