Auguste Beernaert : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza tr:Auguste Marie François Beernaert
d Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Auguste Beernaert(03).jpg|thumb|right|Auguste Beernaert]]
[[Picha:Auguste Beernaert(03).jpg|thumb|right|Auguste Beernaert]]
{{commons|Auguste Beernaert}}
{{Commons|Auguste Beernaert}}


'''Auguste Marie Francois Beernaert''' ([[26 Julai]], [[1829]] – [[6 Oktoba]], [[1912]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Ubelgiji]]. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa [[Waziri Mkuu]] na [[Waziri wa Fedha]]. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]] mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa [[1909]], pamoja na [[Paul d’Estournelles]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
'''Auguste Marie Francois Beernaert''' ([[26 Julai]] [[1829]] – [[6 Oktoba]] [[1912]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Ubelgiji]]. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa [[Waziri Mkuu]] na [[Waziri wa Fedha]]. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]] mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa [[1909]], pamoja na [[Paul d’Estournelles]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ubelgiji]]
* [[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ubelgiji]]


{{mbegu-mwanasiasa}}
{{Mbegu-mwanasiasa}}


{{DEFAULTSORT:Beernaert, Auguste}}
{{DEFAULTSORT:Beernaert, Auguste}}

Pitio la 14:11, 14 Februari 2013

Auguste Beernaert
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Auguste Marie Francois Beernaert (26 Julai 18296 Oktoba 1912) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa 1909, pamoja na Paul d’Estournelles alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Tazama pia

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Auguste Beernaert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.