Tofauti kati ya marekesbisho "Chuo Kikuu cha Mekelle"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
d
Minor fix using AWB
d (r2.6.4) (roboti Badiliko: am:መቀሌ ዩኒቨርሲቲ)
d (Minor fix using AWB)
{{Infobox Universitychuo kikuu
|name = Mekelle University
|image =
|type =
|established = 1991
 
 
'''Chuo Kikuu cha Mekelle''' kiko Kaskazini mwa [[Ethiopia]] ([[Mekelle]] au Mek'ele, Tigray), katika umbali wa kilomita 783 kutoka mji mkuu wa Ethiopia, [[Addis Ababa]]. Chuo hiki kina Kampasi tatu ndani ya mji wa [[Mek'ele]], kampasi ya Endayesus (Kilimo cha Ardhi Kavu na Usimamizi wa Maliasili, Sayansi za kikompyuta Sci, Uhandisi na sayansi ya kompyuta, Sayansi ya Utibabu wa Wanyama),kampasi ya Adi Haki (Sheria na Utawala Bora, Lugha na ubinadamu, Biashara na Uchumi), na kampasi ya Aida (Chuo cha Sayansi ya Afya). Kampasi ya nne iko chini ya ujenzi katika Kelamino kama chuo cha Sayansi ya utibabu wa Wanyama. Chuo Kikuu cha Mekelle kilianzishwa Mei mwaka wa 2000 na [[Serikali ya Ethiopia]] (Baraza la Mawaziri, Kanuni No 61/1999 ya Ibara ya 3) kama taasisi elimu yenye ina sheria zake kibinafsi. Shule hili lilimiliki jina lake utoka malkia Mekell. {{Fact|date=FebruaryFebruari 2009}} Kuunganisha vyuo viwili ndiko kuliumba chuo hiki kikuu: Chuo cha Mekelle cha Biashara Mekelle na chuo cha Mekelle. Vyuo hivi viwili vina maendeleo ya kihistoria na uhamishaji.
 
 
 
==Historia==
 
 
Baada ya wanakabiliwa na changamoto, Chuo cha kilimo katika ardhi kavu kliianza na digrii tatu mwaka wa 1993 pamoja na wanafunzi 42 . Baada ya miaka miwili, wa Kitivo cha Sayansi na Teknolojia kilianzishwa katika kampasi hii , vitivo hivi viwili vilipandishwa cheo na kuwa Chuo kikuu na Chuo cha Mekelle. Vile vile Kitivo cha sheria kilianza kwa kukubali wanafunzi wa diploma katika mpango wa elimu ya kuendelea .
 
 
Cho Kikuu cha Mekelle ni moja ya Vyuo vikuu 13vya kidunia nchini Ethiopia. Katika chuo kikuu cha Mekelle , kuna vitivo saba na idara 44.
 
 
Cho Kikuu cha Mekelle ni moja ya Vyuo vikuu 13vya kidunia nchini Ethiopia. Katika chuo kikuu cha Mekelle , kuna vitivo saba na idara 44.
 
==Vyuo na vitivo==
Kwa sasa, Chuo hiki Kikuu ina vitivo vifuatavyo:
 
 
 
* Chuo cha Kilimo Katika Ardhi Kavu
* Chuo cha Biashara na Uchumi
* Chuo cha Ubinadamu na Lugha.
* Chuo cha Sayansi ya Mazingra na Kikompyuta
* Chuo cha Sheria na Utawala
* Taasisi ya sayansi ya Matibabu
* Chuo cha Sayansi ya Utibabu wa Wanyama
* Chuo cha Sayansi ya Afya
* Chuo cha Uhandisi na Teknolojia
 
 
9,497

edits

Urambazaji