France 24 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (Roboti: Imeongeza hy:France 24
d Minor fix using AWB
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:France 24 News presenter.jpg|right|thumb|Mwanahabari, Francois Picard.]]
[[Picha:France 24 News presenter.jpg|right|thumb|Mwanahabari, Francois Picard.]]


'''France 24''' ni stesheni yakimataifa ya kutangaza habari. Ilianza utangazaji mnamo 6 Desemba 2006.
'''France 24''' ni stesheni yakimataifa ya kutangaza habari. Ilianza utangazaji mnamo 6 Desemba 2006.


Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini [[Issy-les-Moulineaux]],<ref>"[http://www.france24.com/en/contact-us Contact Us]." France 24. Retrieved on 29 October 2009.</ref> karibu na mj wa Paris. Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa.
Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini [[Issy-les-Moulineaux]],<ref>"[http://www.france24.com/en/contact-us Contact Us]." France 24. Retrieved on 29 Oktoba 2009.</ref> karibu na mj wa Paris. Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa.


Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni €80. Rais Nicolas Sarkozy alitangaza kuwa anapendelea kuwa stesheni hii itangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.ref>[http://www.lemonde.fr/web/article/0,1-0@2-3236,36-999167@51-999278,0.html La chaîne France 24 dans l'incertitude], Le Monde</ref>
Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni €80. Rais Nicolas Sarkozy alitangaza kuwa anapendelea kuwa stesheni hii itangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.ref>[http://www.lemonde.fr/web/article/0,1-0@2-3236,36-999167@51-999278,0.html La chaîne France 24 dans l'incertitude], Le Monde</ref>
Mstari 46: Mstari 46:


==Wafanyikazi wakuu==
==Wafanyikazi wakuu==
*Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
*Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
*Meneja wa habari: Albert Ripamonti
*Meneja wa habari: Albert Ripamonti
*Msimamizi jalada: Jean Lesieur
*Msimamizi jalada: Jean Lesieur
*Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
*Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
*Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
*Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
*Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
*Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
*Meneja wa fedha: Frédéric Genea
*Meneja wa fedha: Frédéric Genea
*Mkuu wa sheria: Anne Kack
*Mkuu wa sheria: Anne Kack
*Utangazaji: Patrice Begay
*Utangazaji: Patrice Begay


===Matumaini===
===Matumaini===
Mstari 63: Mstari 63:


==Marejeo==
==Marejeo==
{{reflist}}
{{Marejeo}}


[[Jamii:Ufaransa]]
[[Jamii:Ufaransa]]

Pitio la 12:17, 14 Februari 2013

Nembo ya taarifa ya habari ya France24
Mwanahabari, Francois Picard.

France 24 ni stesheni yakimataifa ya kutangaza habari. Ilianza utangazaji mnamo 6 Desemba 2006.

Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini Issy-les-Moulineaux,[1] karibu na mj wa Paris. Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa.

Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni €80. Rais Nicolas Sarkozy alitangaza kuwa anapendelea kuwa stesheni hii itangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.ref>La chaîne France 24 dans l'incertitude, Le Monde</ref>

Vipindi

France24 inatangazwa kwa stesheni tatu tofauti: Ya Kiingereza, Kifaransa na ya Kiarabu kuanzia saa nane mchana hadi saa sita usiku (kulingana na masaa ya Paris).[2][3]

Vipindi vyake

  • The News
  • In The Papers
  • In The Weeklies
  • Business
  • The Business Interview
  • Beyond Business
  • The France 24 Interview
  • Environment
  • Face-Off
  • The France 24 Debate
  • Weather
  • Health
  • Fashion
  • Culture
  • World Generation
  • Lessons For the Future
  • Reporters
  • Top Story
  • Web News
  • Sport
  • Caring
  • The Week In Africa
  • The Week In Maghreb
  • The Week In Asia
  • The Week In Europe
  • The Week In the Americas
  • The Week In the Middle East
  • The Week In France
  • Markets
  • Opinions
  • Report
  • Lifestyle

Wafanyikazi wakuu

  • Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
  • Meneja wa habari: Albert Ripamonti
  • Msimamizi jalada: Jean Lesieur
  • Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
  • Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
  • Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
  • Meneja wa fedha: Frédéric Genea
  • Mkuu wa sheria: Anne Kack
  • Utangazaji: Patrice Begay

Matumaini

France 24 ina matumaini ya kushinda stesheni kama CNN International, BBc World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English.

Upatikanaji

Inapatikana nchini Uropa, Afrika na Middle East kwa njia ya satelaiti. Tovuti yake ni france24.com

Marejeo

  1. "Contact Us." France 24. Retrieved on 29 Oktoba 2009.
  2. http://www.france24.com/
  3. Inside France 24