Hedwiga wa Poland : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza da:Hedvig af Polen
d Minor fix using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
'''Hedwiga''' (kwa [[Kijerumani]] Hedwig, kwa [[Kipolandi]] Jadwiga, linatamkwa jadˈviɡa) aliishi tangu mwaka [[1373]]/[[1374]] hadi [[17 Julai]] [[1399]]).
'''Hedwiga''' (kwa [[Kijerumani]] Hedwig, kwa [[Kipolandi]] Jadwiga, linatamkwa jadˈviɡa) aliishi tangu mwaka [[1373]]/[[1374]] hadi [[17 Julai]] [[1399]]).


Kuanzia mwaka [[1384]] hadi [[kifo]] chake alitawala nchi ya [[Poland]] akiitwa '[[mfalme]]' badala ya 'malkia', ili kusisitiza kwamba hakuna tu [[mke]] wa mtawala halisi<ref name="Barański">''Hedvigis Rex Polonie'': M. Barański, S. Ciara, M. Kunicki-Goldfinger, ''Poczet królów i książąt polskich'', Warszawa 1997, also Teresa Dunin-Wąsowicz, ''[http://historia_kobiet.w.interia.pl/teksty/d-jad.htm Dwie Jadwigi (The Two Hedwigs)]''</ref>.
Kuanzia mwaka [[1384]] hadi [[kifo]] chake alitawala nchi ya [[Poland]] akiitwa '[[mfalme]]' badala ya 'malkia', ili kusisitiza kwamba hakuna tu [[mke]] wa mtawala halisi<ref name="Barański">''Hedvigis Rex Polonie'': M. Barański, S. Ciara, M. Kunicki-Goldfinger, ''Poczet królów i książąt polskich'', Warszawa 1997, also Teresa Dunin-Wąsowicz, ''[http://historia_kobiet.w.interia.pl/teksty/d-jad.htm Dwie Jadwigi (The Two Hedwigs)]''</ref>.


Alizaliwa katika [[ukoo]] wa [[Wakapeti wa Anjou]], [[binti]] wa mwisho wa mfalme [[Luis I wa Hungaria]] na [[Elizabeti wa Bosnia]].<ref name="books.google-Davies">{{cite web | url=http://books.google.ca/books?id=b912JnKpYTkC&pg=PA94&dq=%22In+1385%22+%22Jadwiga+arrived+in+Cracow%22&hl=en&sa=X&ei=BiOFT-bRGM_XiQLUs4j2BA&ved=0CDQQ6AEwAA#v=onepage&q=%22In%201385%22%20%22Jadwiga%20arrived%20in%20Cracow%22&f=false | title=Jadwiga (chapter Jogalia) | publisher=Oxford University Press | work=God's Playground: A History of Poland in Two Volumes, Volume 1 | date=2005 | accessdate=April 10, 2012 | author=Norman Davies | pages=94-96 | isbn=0-19-925339-0}}</ref>.
Alizaliwa katika [[ukoo]] wa [[Wakapeti wa Anjou]], [[binti]] wa mwisho wa mfalme [[Luis I wa Hungaria]] na [[Elizabeti wa Bosnia]].<ref name="books.google-Davies">{{cite web | url=http://books.google.ca/books?id=b912JnKpYTkC&pg=PA94&dq=%22In+1385%22+%22Jadwiga+arrived+in+Cracow%22&hl=en&sa=X&ei=BiOFT-bRGM_XiQLUs4j2BA&ved=0CDQQ6AEwAA#v=onepage&q=%22In%201385%22%20%22Jadwiga%20arrived%20in%20Cracow%22&f=false | title=Jadwiga (chapter Jogalia) | publisher=Oxford University Press | work=God's Playground: A History of Poland in Two Volumes, Volume 1 | date=2005 | accessdate=10 Aprili 2012 | author=Norman Davies | pages=94-96 | isbn=0-19-925339-0}}</ref>.


Tangu zamani anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] na [[msimamizi]] wa kila [[malkia]]. [[Papa Yohane Paulo II]] ndiye aliyemtangaza rasmi [[mwenye heri]] tarehe [[8 Agosti]] [[1986]] na mtakatifu tarehe [[8 Juni]] [[1997]].
Tangu zamani anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] na [[msimamizi]] wa kila [[malkia]]. [[Papa Yohane Paulo II]] ndiye aliyemtangaza rasmi [[mwenye heri]] tarehe [[8 Agosti]] [[1986]] na mtakatifu tarehe [[8 Juni]] [[1997]].
Mstari 21: Mstari 21:


==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{Reflist|2}}
{{Marejeo|2}}


==Marejeo==
==Marejeo==
* {{cite book | last = Heinze | first = Karl | title = Baltic Sagas | publisher = Virtualbookworm Publishing | date= 8 December 2003 | isbn = 1-58939-498-4 }}
* {{cite book | last = Heinze | first = Karl | title = Baltic Sagas | publisher = Virtualbookworm Publishing | date= 8 Desemba 2003 | isbn = 1-58939-498-4 }}
* {{cite book | last = Lukowski | first = Jerzy| coauthors = Hubert Zawadzki | title = A Concise History of Poland | publisher = [[Cambridge University Press]] | date= 20 September 2001 | isbn = 0-521-55917-0 }}
* {{cite book | last = Lukowski | first = Jerzy| coauthors = Hubert Zawadzki | title = A Concise History of Poland | publisher = [[Cambridge University Press]] | date= 20 Septemba 2001 | isbn = 0-521-55917-0 }}
* {{cite book | last = Turnbull | first = Stephen| coauthors = Richard Hook | title = Tannenberg 1410 | publisher = [[Osprey Publishing]] | date= 30 May 2003 | isbn = 1-84176-561-9 }}
* {{cite book | last = Turnbull | first = Stephen| coauthors = Richard Hook | title = Tannenberg 1410 | publisher = [[Osprey Publishing]] | date= 30 Mei 2003 | isbn = 1-84176-561-9 }}


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 22:59, 13 Februari 2013

Malkia Hedwiga leo anaheshimiwa kama mtakatifu.
Ngao yake.
Vazi maalumu la ibada la Jadwiga.

Hedwiga (kwa Kijerumani Hedwig, kwa Kipolandi Jadwiga, linatamkwa jadˈviɡa) aliishi tangu mwaka 1373/1374 hadi 17 Julai 1399).

Kuanzia mwaka 1384 hadi kifo chake alitawala nchi ya Poland akiitwa 'mfalme' badala ya 'malkia', ili kusisitiza kwamba hakuna tu mke wa mtawala halisi[1].

Alizaliwa katika ukoo wa Wakapeti wa Anjou, binti wa mwisho wa mfalme Luis I wa Hungaria na Elizabeti wa Bosnia.[2].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu na msimamizi wa kila malkia. Papa Yohane Paulo II ndiye aliyemtangaza rasmi mwenye heri tarehe 8 Agosti 1986 na mtakatifu tarehe 8 Juni 1997.

Picha

Tanbihi

  1. Hedvigis Rex Polonie: M. Barański, S. Ciara, M. Kunicki-Goldfinger, Poczet królów i książąt polskich, Warszawa 1997, also Teresa Dunin-Wąsowicz, Dwie Jadwigi (The Two Hedwigs)
  2. Norman Davies (2005). "Jadwiga (chapter Jogalia)". God's Playground: A History of Poland in Two Volumes, Volume 1. Oxford University Press. ku. 94–96. ISBN 0-19-925339-0. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2012. 
  3. Psałterz floriański

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: