Kool G Rap : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza he:קול ג'י ראפ
d Minor fix using AWB
Mstari 15: Mstari 15:
|Ameshirikiana na = [[DJ Polo]], [[Juice Crew]], [[Marley Marl]], [[Big Daddy Kane]], [[Rakim]], [[Canibus]], [[Click of Respect|Five Family Click]], [[Wu-Tang Clan]], [[Nas]], [[MF Grimm]], [[Mobb Deep]], [[R.A. The Rugged Man]], [[Ras Kass]], [[DJ Premier]], [[Rick Ross]]
|Ameshirikiana na = [[DJ Polo]], [[Juice Crew]], [[Marley Marl]], [[Big Daddy Kane]], [[Rakim]], [[Canibus]], [[Click of Respect|Five Family Click]], [[Wu-Tang Clan]], [[Nas]], [[MF Grimm]], [[Mobb Deep]], [[R.A. The Rugged Man]], [[Ras Kass]], [[DJ Premier]], [[Rick Ross]]
}}
}}
'''Nathaniel Thomas Wilson''' (amezaliwa tar. [[20 Julai]], [[1968]]<ref name="allmusic.com">{{Allmusic|class=artist|id=p117046|pure_url=yes}}</ref>), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Kool G Rap''' (au kwa kifupi huitwa '''G Rap'''), '''Kool G. Rap''', na '''Giancana''' (Maana ya kifupisho cha ''"G."''), ni [[kurap|rappa]], kutoka mjini [[Corona, Queens|Corona]] jirani na mji wa [[Queens]], New York huko nchini [[Marekani]].<ref name="hiphopdx.com">{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/features/id.1051/title./p.all |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=March 5, 2008 |accessdate=November 13, 2011}}</ref> Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na [[DJ Polo]] na pia akiwa kama mwanachama wa [[Juice Crew]].
'''Nathaniel Thomas Wilson''' (amezaliwa tar. [[20 Julai]] [[1968]]<ref name="allmusic.com">{{Allmusic|class=artist|id=p117046|pure_url=yes}}</ref>), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Kool G Rap''' (au kwa kifupi huitwa '''G Rap'''), '''Kool G. Rap''', na '''Giancana''' (Maana ya kifupisho cha ''"G."''), ni [[kurap|rappa]], kutoka mjini [[Corona, Queens|Corona]] jirani na mji wa [[Queens]], New York huko nchini [[Marekani]].<ref name="hiphopdx.com">{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/features/id.1051/title./p.all |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=5 Machi 2008 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref> Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na [[DJ Polo]] na pia akiwa kama mwanachama wa [[Juice Crew]].


Mara kwa mara huhesabiwa kama miongoni mwa Ma-MC wenye athira na maarifa ya juu wa muda wote<ref name="Kool Moe Dee 2003, p.225, 228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.225, 228.</ref><ref>Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213-214.</ref><ref name="mtv.com">{{cite web|url=http://www.mtv.com/bands/h/hip_hop_week/2006/emcees/index12.jhtml |title=The Greatest MCs Of All Time |work=''MTV'' |date=March 9, 2006 |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref name="allmusicguide.com">{{Allmusic|class=album|id=r614691|pure_url=yes}}</ref><ref name="allmusic.com"/><ref name="allhiphop.com">{{cite web|author=Alvin aqua Blanco and Bun B, UGK, Pimp C |url=http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/03/16/21108470.aspx |title=Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Bun B |publisher=Allhiphop.com |date=March 16, 2009 |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref name="ReferenceA">[http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/01/28/20816964.aspx Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Rah Digga]</ref>akiwa kama mwanzilishi wa staili ya [[mafioso rap]]/street/hardcore<ref name="mtv.com"/><ref name="rollingstone.com"/><ref name="Cobb, William Jelani 2007, p. 59">Cobb, William Jelani, 2007, ''To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic'', NYU Press, p. 59.</ref><ref name="Hess, Mickey 2007, p.57">Hess, Mickey, 2007, ''Icons Of Hip Hop'', Greenwood Publishing Group, p.57.</ref><ref name="Kool Moe Dee 2003, p.228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.228.</ref><ref name="ReferenceC">{{Allmusic|class=album|id=r218513|pure_url=yes}}</ref> na uimbaji wa silabinyinginyingi.<ref name="Shapiro, Peter 2005, p. 213">Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213.</ref> Kwenye albamu yake ya ''The Giancana Story'', ameeleza ya kwamba herufi "G" katika jina lake humaanisha "Giancana" (kajipa jina la jambazi sugu [[Sam Giancana]]), lakini kwa namna nyingine mwenyewe eti anadai lina-maanisha "Genius".<ref name="allmusic.com"/>
Mara kwa mara huhesabiwa kama miongoni mwa Ma-MC wenye athira na maarifa ya juu wa muda wote<ref name="Kool Moe Dee 2003, p.225, 228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.225, 228.</ref><ref>Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213-214.</ref><ref name="mtv.com">{{cite web|url=http://www.mtv.com/bands/h/hip_hop_week/2006/emcees/index12.jhtml |title=The Greatest MCs Of All Time |work=''MTV'' |date=9 Machi 2006 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref><ref name="allmusicguide.com">{{Allmusic|class=album|id=r614691|pure_url=yes}}</ref><ref name="allmusic.com"/><ref name="allhiphop.com">{{cite web|author=Alvin aqua Blanco and Bun B, UGK, Pimp C |url=http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/03/16/21108470.aspx |title=Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Bun B |publisher=Allhiphop.com |date=16 Machi 2009 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref><ref name="ReferenceA">[http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/01/28/20816964.aspx Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Rah Digga]</ref>akiwa kama mwanzilishi wa staili ya [[mafioso rap]]/street/hardcore<ref name="mtv.com"/><ref name="rollingstone.com"/><ref name="Cobb, William Jelani 2007, p. 59">Cobb, William Jelani, 2007, ''To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic'', NYU Press, p. 59.</ref><ref name="Hess, Mickey 2007, p.57">Hess, Mickey, 2007, ''Icons Of Hip Hop'', Greenwood Publishing Group, p.57.</ref><ref name="Kool Moe Dee 2003, p.228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.228.</ref><ref name="ReferenceC">{{Allmusic|class=album|id=r218513|pure_url=yes}}</ref> na uimbaji wa silabinyinginyingi.<ref name="Shapiro, Peter 2005, p. 213">Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213.</ref> Kwenye albamu yake ya ''The Giancana Story'', ameeleza ya kwamba herufi "G" katika jina lake humaanisha "Giancana" (kajipa jina la jambazi sugu [[Sam Giancana]]), lakini kwa namna nyingine mwenyewe eti anadai lina-maanisha "Genius".<ref name="allmusic.com"/>


Pia amewahi kutajwa na wasanii maarufu wa hip hop kama vile [[Eminem]], [[Nas]], [[Jay Z]], [[Big Pun]], [[RZA]] na wengine wengi tu.<ref name="ReferenceB" /><ref name="autogeneratedviii">Edwards, Paul, 2009, ''[[How to Rap]]: The Art & Science of the Hip-Hop MC'', Chicago Review Press, p. viii, 88, 324.</ref><ref>{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/interviews/id.1051/title.kool-g-rap-these-are-our-heroes |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=March 5, 2008 |accessdate=November 13, 2011}}</ref>
Pia amewahi kutajwa na wasanii maarufu wa hip hop kama vile [[Eminem]], [[Nas]], [[Jay Z]], [[Big Pun]], [[RZA]] na wengine wengi tu.<ref name="ReferenceB" /><ref name="autogeneratedviii">Edwards, Paul, 2009, ''[[How to Rap]]: The Art & Science of the Hip-Hop MC'', Chicago Review Press, p. viii, 88, 324.</ref><ref>{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/interviews/id.1051/title.kool-g-rap-these-are-our-heroes |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=5 Machi 2008 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref>


==Wasifu==
==Wasifu==
Mstari 25: Mstari 25:
Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini [[Corona, Queens|Corona]] [[Queens]], New York akiwa na mtayarishaji mkongwe [[Eric B.]]<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4">Kool G Rap, Will C., 2008, ''Road to the Riches Remaster Liner Notes'', p. 4.</ref> Katika mahojiano yake na jarida la [[The Source]] alieleza;
Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini [[Corona, Queens|Corona]] [[Queens]], New York akiwa na mtayarishaji mkongwe [[Eric B.]]<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4">Kool G Rap, Will C., 2008, ''Road to the Riches Remaster Liner Notes'', p. 4.</ref> Katika mahojiano yake na jarida la [[The Source]] alieleza;


{{cquote|Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 15 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mufukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anandoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.<ref>|30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, September, 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72</ref>}}
{{cquote|Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 15 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mufukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anandoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.<ref>|30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, Septemba 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72</ref>}}


Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na [[DJ Polo]], ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4"/>
Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na [[DJ Polo]], ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4"/>


===Kool G Rap na DJ Polo===
===Kool G Rap na DJ Polo===

===Kazi za kujitegemea===
===Kazi za kujitegemea===

==Urithi==
==Urithi==
===Maujanja ya kuchana mistari===
===Maujanja ya kuchana mistari===
Mstari 67: Mstari 65:
|-
|-
|''[[Riches, Royalty, Respect]]''
|''[[Riches, Royalty, Respect]]''
|[[2011 in music|2011]]<ref>{{cite web|last=Langhorne |first=Cyrus |url=http://www.sohh.com/2010/11/kool_g_rap_shows_off_riches_royalty_resp.html |title=Kool G Rap Shows Off "Riches, Royalty & Respect", "I'm Not Doing It To Try & Blend In" |publisher=Sohh.Com |date=November 1, 2010 |accessdate=November 13, 2011}}</ref>
|[[2011 in music|2011]]<ref>{{cite web|last=Langhorne |first=Cyrus |url=http://www.sohh.com/2010/11/kool_g_rap_shows_off_riches_royalty_resp.html |title=Kool G Rap Shows Off "Riches, Royalty & Respect", "I'm Not Doing It To Try & Blend In" |publisher=Sohh.Com |date=1 Novemba 2010 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref>
|- style="background:#ccc; text-align:center;"
|- style="background:#ccc; text-align:center;"
! style="text-align:center;"|Kompilesheni
! style="text-align:center;"|Kompilesheni
Mstari 101: Mstari 99:
|[[2004]]
|[[2004]]
|-
|-
|''[[The Godfathers (Kool G Rap & Necro)|The Godfathers]]''<ref>{{cite web|url=http://www.facebook.com/koolgrapnow |title=Kool G Rap |publisher=Facebook |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.necrohiphop.com/forum/ubbthreads.php?ubb=showflat&Number=234882#Post234882 |title=KOOL G. RAP & NECRO – THE GODFATHERS – FULL ALBUM – NecroHipHop.com Message Board |publisher=Necrohiphop.com |date=September 26, 2009 |accessdate=November 13, 2011}}</ref>
|''[[The Godfathers (Kool G Rap & Necro)|The Godfathers]]''<ref>{{cite web|url=http://www.facebook.com/koolgrapnow |title=Kool G Rap |publisher=Facebook |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.necrohiphop.com/forum/ubbthreads.php?ubb=showflat&Number=234882#Post234882 |title=KOOL G. RAP & NECRO – THE GODFATHERS – FULL ALBUM – NecroHipHop.com Message Board |publisher=Necrohiphop.com |date=26 Septemba 2009 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref>
|''[[Necro]]
|''[[Necro]]
|[[2012]]
|[[2012]]
|-
|-
|''Inatarajiwa kutangazwa''<ref>{{cite web|url=http://www.facebook.com/koolgrapnow/posts/239721312750659 |title=:: New album from... |publisher=Facebook |date=November 5, 2011 |accessdate=November 13, 2011}}</ref>
|''Inatarajiwa kutangazwa''<ref>{{cite web|url=http://www.facebook.com/koolgrapnow/posts/239721312750659 |title=:: New album from... |publisher=Facebook |date=5 Novemba 2011 |accessdate=13 Novemba 2011}}</ref>
|''[[The Alchemist (mtayarishaji)|The Alchemist]]
|''[[The Alchemist (mtayarishaji)|The Alchemist]]
|2012
|2012
|}
|}

==Marejeo==
==Marejeo==
{{reflist}}
{{Marejeo}}


==Soma zaidi==
==Soma zaidi==

* Paul Edwards, foreword by Kool G Rap, 2009, ''[[How to Rap]]: The Art & Science of the Hip-Hop MC''. Chicago Review Press.
* Paul Edwards, foreword by Kool G Rap, 2009, ''[[How to Rap]]: The Art & Science of the Hip-Hop MC''. Chicago Review Press.
* Kool Moe Dee, 2003, ''[[There's A God On The Mic]]: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press.
* Kool Moe Dee, 2003, ''[[There's A God On The Mic]]: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press.

Pitio la 16:47, 13 Februari 2013

Kool G Rap

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Nathaniel Thomas Wilson
Amezaliwa 20 Julai 1968 (1968-07-20) (umri 55)
Queens, New York City, U.S.
Asili yake Corona, Queens, New York City, U.S.
Aina ya muziki Hip hop, mafioso rap, hardcore hip hop
Kazi yake Rapa, mtayarishaji wa rekodi, mwandishi-skrini, mtunzi wa vitabu
Miaka ya kazi 1986–hadi sasa
Studio Cold Chillin'/Warner Bros. Records
Cold Chillin'
Cold Chillin'/Epic Street/SME Records
KOCH'
Ame/Wameshirikiana na DJ Polo, Juice Crew, Marley Marl, Big Daddy Kane, Rakim, Canibus, Five Family Click, Wu-Tang Clan, Nas, MF Grimm, Mobb Deep, R.A. The Rugged Man, Ras Kass, DJ Premier, Rick Ross

Nathaniel Thomas Wilson (amezaliwa tar. 20 Julai 1968[1]), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kool G Rap (au kwa kifupi huitwa G Rap), Kool G. Rap, na Giancana (Maana ya kifupisho cha "G."), ni rappa, kutoka mjini Corona jirani na mji wa Queens, New York huko nchini Marekani.[2] Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na DJ Polo na pia akiwa kama mwanachama wa Juice Crew.

Mara kwa mara huhesabiwa kama miongoni mwa Ma-MC wenye athira na maarifa ya juu wa muda wote[3][4][5][6][1][7][8]akiwa kama mwanzilishi wa staili ya mafioso rap/street/hardcore[5][9][10][11][12][13] na uimbaji wa silabinyinginyingi.[14] Kwenye albamu yake ya The Giancana Story, ameeleza ya kwamba herufi "G" katika jina lake humaanisha "Giancana" (kajipa jina la jambazi sugu Sam Giancana), lakini kwa namna nyingine mwenyewe eti anadai lina-maanisha "Genius".[1]

Pia amewahi kutajwa na wasanii maarufu wa hip hop kama vile Eminem, Nas, Jay Z, Big Pun, RZA na wengine wengi tu.[15][16][17]

Wasifu

Miaka ya mwanzo

Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini Corona Queens, New York akiwa na mtayarishaji mkongwe Eric B.[18] Katika mahojiano yake na jarida la The Source alieleza;

Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 15 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mufukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anandoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.[19]

Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na DJ Polo, ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.[18]

Kool G Rap na DJ Polo

Kazi za kujitegemea

Urithi

Maujanja ya kuchana mistari

Mafioso na Staili za Kitaa

Diskografia

na DJ Polo Mwaka
Road to the Riches 1989
Wanted: Dead or Alive 1990
Live and Let Die 1992
Albamu za Kujitegemea Mwaka
4,5,6 1995
Roots of Evil 1998
The Giancana Story 2002
Half a Klip 2008
Riches, Royalty, Respect 2011[20]
Kompilesheni Mwaka
Killer Kuts 1994
Rated XXX 1996
The Best of Cold Chillin' 2000
Greatest Hits 2002
Kool G Rap & Twinn Loco Present – I Live Hip Hop – The Mixtape 2010
Albamu za Ushirikiano Akiwa na Mwaka
Click of Respect The 5 Family Click 2003
Legends Vol. 3 (digital album – Napster) J-love Enterprise 2004
The Godfathers[21][22] Necro 2012
Inatarajiwa kutangazwa[23] The Alchemist 2012

Marejeo

  1. 1.0 1.1 1.2 Kool G Rap katika Allmusic
  2. Arnold, Paul W (5 Machi 2008). "Kool G Rap: These Are Our Heroes | Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop". HipHop DX. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  3. Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press, p.225, 228.
  4. Shapiro, Peter, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin, p. 213-214.
  5. 5.0 5.1 "The Greatest MCs Of All Time". MTV. 9 Machi 2006. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  6. Kool G Rap katika Allmusic
  7. Alvin aqua Blanco and Bun B, UGK, Pimp C (16 Machi 2009). "Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Bun B". Allhiphop.com. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  8. Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Rah Digga
  9. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named rollingstone.com
  10. Cobb, William Jelani, 2007, To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic, NYU Press, p. 59.
  11. Hess, Mickey, 2007, Icons Of Hip Hop, Greenwood Publishing Group, p.57.
  12. Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press, p.228.
  13. Kool G Rap katika Allmusic
  14. Shapiro, Peter, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin, p. 213.
  15. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named ReferenceB
  16. Edwards, Paul, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC, Chicago Review Press, p. viii, 88, 324.
  17. Arnold, Paul W (5 Machi 2008). "Kool G Rap: These Are Our Heroes | Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop". HipHop DX. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  18. 18.0 18.1 Kool G Rap, Will C., 2008, Road to the Riches Remaster Liner Notes, p. 4.
  19. |30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, Septemba 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72
  20. Langhorne, Cyrus (1 Novemba 2010). "Kool G Rap Shows Off "Riches, Royalty & Respect", "I'm Not Doing It To Try & Blend In"". Sohh.Com. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  21. "Kool G Rap". Facebook. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  22. "KOOL G. RAP & NECRO – THE GODFATHERS – FULL ALBUM – NecroHipHop.com Message Board". Necrohiphop.com. 26 Septemba 2009. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 
  23. ":: New album from...". Facebook. 5 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011. 

Soma zaidi

  • Paul Edwards, foreword by Kool G Rap, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC. Chicago Review Press.
  • Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press.
  • Brian Coleman, 2007, Check The Technique: Liner Notes For Hip-Hop Junkies, Villard, Random House.
  • Peter Shapiro, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin.
  • William Jelani Cobb, 2007, To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic, NYU Press.
  • Mickey Hess, 2007, Icons Of Hip Hop, Greenwood Publishing Group.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: