Daktari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: tr:Doktora
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza sh:Doktor (titula)
Mstari 42: Mstari 42:
[[ru:Доктор (звание)]]
[[ru:Доктор (звание)]]
[[scn:Dutturi]]
[[scn:Dutturi]]
[[sh:Doktor (titula)]]
[[sr:Доктор наука]]
[[sr:Доктор наука]]
[[sv:Doktor]]
[[sv:Doktor]]

Pitio la 16:37, 12 Februari 2013

Daktari (ma) ni neno la asili ya Kilatini lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza. Hutumiwa na maana mbili:

1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu ya kutibu maradhi au wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu wanaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma).

2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine dakta(ri) hutumiwa pia kama jina la heshima la mtu aliyepata shahada ya juu kabisa.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daktari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.