Tofauti kati ya marekesbisho "Iceland"
Jump to navigation Jump to search
16 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
d
Minor fix using AWB
d (r2.5.4) (Boti: Inarbadilisha ceb:Iceland hadi ceb:Islandya)
d (Minor fix using AWB)
{{Infobox country
{{Infobox_Country
|native_name = ''Lýðveldið Ísland''
|conventional_long_name = Republic of Iceland
|image_coat = Coat of arms of Iceland.svg
|image_map = LocationIceland.png
|national_motto =(hakuna)
|national_anthem = [[Lofsöngur]]
|official_languages = [[Kiiceland]]
|government_type = Jamhuri
|leader_titles = [[Marais wa Iceland|Rais]]
[[Mawaziri Wakuu wa Iceland|Waziri Mkuu]]
|leader_title2 =
|leader_names =[[Ólafur Ragnar Grímsson]]
[[Jóhanna Sigurðardóttir]]
|area_rank = ya 107
|area_magnitude = 1 E11
|area=103,000
|population_estimate_year = Julai 2006
|population_census = 204,930
|population_census_year = DisembaDesemba 1970
|population_density =2.89
|population_density_rank = ya 222
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups_year =
|GDP_PPP = $10.531 billion
|GDP_PPP_per_capita = $35,586 (2005)
|GDP_PPP_per_capita_rank = ya 5
|sovereignty_type = [[Uhuru]]
|sovereignty_note = kutoka [[Denmark]]
|state_religion = [[Kiluteri]]
|established_events = kujitawala
Jamhuri
|established_event2 =
|established_dates =
1. 12. [[1918]]
17. 06. [[1944]]
|established_date2 =
|HDI = 0.956
|HDI_rank = ya 2
|HDI_year = 2003
|currency = [[Króna]] ya Iceland
|currency_code = ISK
|country_code =
|time_zone = [[Greenwich Mean Time|GMT]]
|utc_offset = +0
|time_zone_DST = None
|utc_offset_DST =
|cctld = [[.is]]
|calling_code = 354
|footnotes =
[[Picha:Island-karte.png|thumb|left|280px|Ramani ya Iceland]]
== Wakazi ==
Watu wa Iceland karibu wote ni Wa[[skandinavia]]. [[Lugha ya Kiiceland]] bado inafanana sana na ile [[Kinorwei]] cha kale kilicholetwa kisiwani na wakazi wa kwanza miaka 1000 iliyopita. Watu bado wanaelewea mashairi yaliyotunzwa tangu zamani ile.
Karibu Waiceland wote ni Wakristo Waluteri. [[Kanisa la Kiluteri]] ni dini rasmi ya nchi. Kuna pia Wakatoliki wachache na wafuasi wachache sana wa imani mbalimbali.
Iceland iko mbali na bara za [[Ulaya]] na [[Amerika]] tena katika mazingira baridi. Inaaminika haikuwa na watu kabisa hadi mwaka 800 [[BK]]. Wataalamu hawakubaliani kama ni mabaharia kutoka [[Norwei]] au [[Ueire]] waliobahatika kufika kisiwani na kujenga makao ya kwanza.
Hakika waliofika wengi kidogo walikuwa Wa[[viking]] au Wa[[norwei]] wa kale katika karne ya 9 BK. Kama Waeire walikuwepo walifukuzwa au kuwa sehemu za Waviking. Mtu wa kwanza aliyekumbukwa kwa jina alikuwa [[Flóki Vilgerðarson]].
Waviking waliofika walikuja pamoja na familia na watumishi au watumwa wao. Mnamo mwaka [[930]] BK machifu na wasimamizi wa familia zilizokuwepo walipatana kuhusu aina ya katiba kwa Iceland. Walianzisha [[bunge]] ya [[Althing]]. Ilikuwa mkutano wa watu 36 walioitwa "Godi" wakiwa na cheo cha kuunganisha madaraka ya [[chifu]], [[hakimu]] na [[kuhani]]. Utaratibu huu wa kuwa na bunge umeendelea hadi leo bila kusimama. Hivyo Iceland ni nchi ya pekee amabako utaratibu wa kidemokrasia wa kale umeendelea wakati katika nchi za Ulaya nafasi ya wafalme au watawala wengine iliongezeka na kumeza haki zote za watu wa kawaida.
Mwaka 985 Mwiceland aligundua njia ya kufika [[Greenland]] na baadaye [[Amerika ya Kaskazini]]. Mviking mmoja kwa jina "[[Erik Mwekundu]]" alifukuzwa kisiwani kwa sababu alikuwa mwuaji. Alielekea magharibi kwa jahazi yake na kufika kwanza Greenland halafu pwani la [[Kanada]] ya leo. Aliita bara jipya "nchi ya mzabibu" kwa sababu alikuta aina ya mizabibu isipokuwa bila matunda.
Tangu 1262 uhuru wa Iceland ilikwisha kwa sababu viongozi walijiunga na Ufalme wa Norwei. Iceland iliendelea kuwa na bunge lake na madaraka mbalimbali -hasa kwa sababu usafiri uliendelea kuwa vigumu- lakini mabwana wakuu walikuwa sasa waalme wa Skandinavia, kwanza Wanorwei, baadaye Wa[[denmark]].
Mwaka 1918 [[Denmark]] ilirudisha madaraka yote ya serikali kwa Waiceland wenyewe isipokuwa mfalme wa Denmark aliendelea kama Mkuu wa nchi.
== Jiografia ==
Iceland ina asili ya kivolkeno. Ni kisiwa kikubwa cha safu ya [[mgongo kati wa Atlantiki]] mahali ambako mabamba ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]] na [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]] yanakutana. Kwa sababu hii kuna milima mengi hasa [[volkeno]] ni nyingi.
Kwa ujumla [[hali ya hewa]] ni baridi na [[barafuto]] zinafunika sehemu kubwa ya nchi. Hasa nyanda za juu ni baridi mno hakuna mimea. Karibu makazi yote ya watu ni karibu na pwani. Kusini ya kisiwa haikuwa baridi mno kwa sababu ya [[mkondo wa ghuba]] linaloendelea kusukuma maji ya ghuba la Mexiko hadi Atlantiki ya kaskazini. Mkondo huu unapofika Iceland si ya moto tena lakini vuguvugu kidogo hivyo inazuia baridi kali sana.
{{Ulaya}}
{{mbeguMbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Iceland| ]]
9,497
edits
Urambazaji