Dante Alighieri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza min:Dante Alighieri
d r2.6.5) (Roboti: Imeongeza kab:Dante Alighieri
Mstari 32: Mstari 32:
{{Link FA|sl}}
{{Link FA|sl}}
{{Link FA|sv}}
{{Link FA|sv}}

[[min:Dante Alighieri]]


[[ab:Данте Алигьери]]
[[ab:Данте Алигьери]]
Mstari 96: Mstari 98:
[[ka:დანტე ალიგიერი]]
[[ka:დანტე ალიგიერი]]
[[kaa:Dante Alighieri]]
[[kaa:Dante Alighieri]]
[[kab:Dante Alighieri]]
[[kk:Данте Алигьери]]
[[kk:Данте Алигьери]]
[[ko:단테 알리기에리]]
[[ko:단테 알리기에리]]
Mstari 106: Mstari 109:
[[lv:Dante Aligjēri]]
[[lv:Dante Aligjēri]]
[[mhr:Данте Алигьери]]
[[mhr:Данте Алигьери]]
[[min:Dante Alighieri]]
[[mk:Данте Алигиери]]
[[mk:Данте Алигиери]]
[[ml:ഡാന്റെ അലിഘിയേരി]]
[[ml:ഡാന്റെ അലിഘിയേരി]]

Pitio la 01:02, 12 Februari 2013

Dante Alighieri jinsi alivyochorwa na Giotto wakati wa maisha yake

Dante Alighieri (14 Mei/13 Juni 1265 - 13/14 Septemba 1321) alikuwa mshairi nchini Italia na mwenyeji wa mji wa Firenze. Anasifiwa kama mwumbaji wa lugha ya Kiitalia akiwa mwanashairi bora wa kwanza aliyeandika kwa lugha ya watu badala ya Kilatini cha wataalamu na wasomi. Hutazamiwa pia kama mshairi muhimu zaidi wa kipindi cha zama za kati za Ulaya.

Kazi yake kuu ni shairi ya Commedia Divina ambamo mshairi mwenyewe anatoa habari za safari yake katika ahera akipita jehenam, toharani na kwenye paradiso.

Viungo vya Nje

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA