Caesi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha it:Cesio (elemento) hadi it:Cesio (elemento chimico) |
d r2.6.5) (Roboti: Imeongeza pa:ਸੀਜ਼ੀਅਮ |
||
Mstari 103: | Mstari 103: | ||
[[no:Cesium]] |
[[no:Cesium]] |
||
[[oc:Cèsi]] |
[[oc:Cèsi]] |
||
[[pa:ਸੀਜ਼ੀਅਮ]] |
|||
[[pl:Cez]] |
[[pl:Cez]] |
||
[[pnb:سیزیم]] |
[[pnb:سیزیم]] |
Pitio la 20:34, 9 Februari 2013
Caesi (Caesium) | |
---|---|
Caesi tupu ina rangi kifedha-nyeupe inayobadilika kuwa kidhahabu ikiguswa na kiasi kidogo sana cha oksijeni kama inavyopatikana katika kioo cha testitubu; hutunzwa katika gesi adimu
| |
Jina la Elementi | Caesi (Caesium) |
Alama | Cs |
Namba atomia | 55 |
Mfululizo safu | Metali alikali |
Uzani atomia | 132.9054519 |
Densiti | 0.89 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 301.59 K (28.44 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 944 K (671 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 6 · 10-4 % |
Hali maada | mango |
Caesi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 55 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 132.9054519. Alama yake ni Cs. Jina latokana na Kilatini "caesius" inayomaanisha buluu kwa sababu ya mistari taswirangi yake iliyo upande wa buluu ya taswirangi.
Caesi ni metali yenye kiwango cha kuyeyuka duni sana ya 28 °C hivyo hutokea kama kiowevu kwa halijoto ya chumbani tayari. Ni dutu inayomenyuka sana kwa hiyo haitokei kwa umbo safi kiasili bali kwa kampaundi mbalimbali. Kati ya elementi zote mmenyuko wake ni mkali baada ya Florini. Kwa sabu hiyi Caesi hupaswa kutolewa katika maabara na hutunzwa ndani ya gesi adimu kama arigoni.
Matumizi yake ni katika saa atomia, vyoo kwa teknolojia ya inforedi na kwa injini ya ioni kwa anga la nje.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caesi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |