Guyani ya Kifaransa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ext:Guayana Francesa
Mstari 135: Mstari 135:
[[oc:Guaiana]]
[[oc:Guaiana]]
[[os:Францы Гвианæ]]
[[os:Францы Гвианæ]]
[[pa:ਫ਼ਰਾਂਸੀਸੀ ਗੁਈਆਨਾ]]
[[pap:Guiana Franses]]
[[pap:Guiana Franses]]
[[pl:Gujana Francuska]]
[[pl:Gujana Francuska]]

Pitio la 20:01, 9 Februari 2013

Région Guyane
Nembo
Jina la Kifaransa Région Guyane
Jina la kawaida Guyana ya Kifaransa
Mji Mkuu Cayenne
Eneo 86 504 km²
Mkuu wa Mkoa Antoine Karam
Idadi ya wakazi 190,842
Sensa ya mwaka 2005
Wakazi kwa km² 2
Wilaya (arrondissements) 2
Ramani Reunion na Ufaransa bara
-- kwa nchi jirani ya Guyana angalia makala Guyana--

Guyana ya Kifaransa (kwa Kifaransa: Guyane française au Guyane pekee) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa ("département d'outre-mer" au DOM) ya Ufaransa katika Amerika Kusini.

Imepakana na Brazil na Surinam. Pwani ya Bahari ya Karibi (Atlantiki) iko upande wa kaskazini.

Ilikuwa koloni la Ufaransa; sasa imekuwa eneo ambalo sehemu kamili ya Ufaransa kisiasa na kisheria. Wakazi ni raia wa Ufaransa. Eneo lina hali ya mkoa (departement) na pia kanda (region) katika Ufaransa. Guyane ni sehemu ya Umoja wa Ulaya. Pesa yake ni Euro.

Makao makuu ya Guyane ni mji wa Cayenne. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa 200,000 katika mwaka 2006.

Wakazi walio wengi ni wa asili ya Kiafrika au wa mchanganyiko wa Kiafrika-Kizungu. Asilimia 12 ni Wazungu, vilevile asilimia 12 ni Wahindi, wengine ni Waindio asilia, Wachina na wahamiaji kutoka Laos.

Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guyani ya Kifaransa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA