Tobias Asser : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 29: Mstari 29:
[[ru:Ассер, Тобиас]]
[[ru:Ассер, Тобиас]]
[[sv:Tobias Asser]]
[[sv:Tobias Asser]]
[[zh:托比亚斯·阿赛尔]]

Pitio la 16:59, 28 Oktoba 2007

Tobias Asser

Tobias Michael Carel Asser (28 Aprili, 183829 Julai, 1913) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya Uholanzi. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Amsterdam. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague. Mwaka wa 1911, pamoja na Alfred Fried alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: