Port Louis : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza or:ପୋର୍ଟ ଲୁଇସ
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:

}}
}}
[[File:Coat of arms of Port Louis.jpg|thumb|200px]]
[[Picha:Port_Louis.jpg|thumbnail|left|250px|Port Louis: Barabara kuu ikielekea ikulu (nyuma)]]
[[Picha:Port_Louis.jpg|thumbnail|left|250px|Port Louis: Barabara kuu ikielekea ikulu (nyuma)]]
[[Port Louis]] ni [[mji mkuu]] wa jamhuri ya [[Morisi]]. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika [[Bahari Hindi]].
[[Port Louis]] ni [[mji mkuu]] wa jamhuri ya [[Morisi]]. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika [[Bahari Hindi]].

Pitio la 12:35, 2 Februari 2013

Jiji la Port Louis
Nchi Morisi
Port Louis: Barabara kuu ikielekea ikulu (nyuma)

Port Louis ni mji mkuu wa jamhuri ya Morisi. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika Bahari Hindi.

Makumbusho ya Port Louis
Mahali pa wilaya ya Port-Louis katika Morisi

Kiwanja cha kimataifa cha ndege cha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo 30 km kusini ya mji. Kutoka Port Louis kuna feri kwenda Saint Denis mji mkuu wa Réunion.

Kuna viwanda vya nguo na vitambaa pia vya kemikali na madawa. Benki ziko nyingi. Kwa jumla Port Louis ni mji wa Afrika ambako wenyeji wana hali ya maisha iliyo juu kushinda miji mingine ya Afrika.