Italia : Tofauti kati ya masahihisho
d Roboti: Imeongeza bxr:Итаали |
d Roboti: Imeongeza pag:Italia |
||
Mstari 248: | Mstari 248: | ||
[[os:Итали]] |
[[os:Итали]] |
||
[[pa:ਇਟਲੀ]] |
[[pa:ਇਟਲੀ]] |
||
[[pag:Italia]] |
|||
[[pam:Italia]] |
[[pam:Italia]] |
||
[[pap:Italia]] |
[[pap:Italia]] |
Pitio la 00:04, 31 Januari 2013
| |||
Lugha rasmi | Kiitalia; kijimbo pia Kijerumani, Kifaransa, Kiladino, Kislovenia, Kisardinia | ||
Mji Mkuu | Roma | ||
Rais | Giorgio Napolitano | ||
Waziri Mkuu | Mario Monti | ||
Eneo | 301.338 km² | ||
Wakazi | 60.494.632 (31-7-2010) (23º duniani) | ||
Wakazi kwa km² | 198.8 | ||
JPT | 31,022 US-$ (2008) | ||
Pesa | Euro | ||
Wakati | UTC+1 | ||
Wimbo wa Taifa | Fratelli d'Italia (Ndugu wa Italia) | ||
Sikukuu ya Jamhuri | 2. Juni | ||
Sikukuu ya Taifa | 25. Aprili | ||
Simu ya kimataifa | +39 | ||
Jamhuri ya Italia ni nchi ya Ulaya Kusini. Eneo lake ni 301.338 km² ambalo lina wakazi 60.494.632 (31-7-2010) (ni nchi ya 23 duniani kwa wingi wa watu). Wengi wao ni Wakristo wa Kanisa Katoliki.
Jiografia
Umbo lake linafanana na mguu linalozungukwa na maji ya Mediteraneo pande tatu. Visiwa viwili vikubwa vya Sicilia na Sardinia ni sehemu za Italia pamoja na visiwa vidogovidogo.
Imepakana na Ufaransa, Uswisi, Austria na Slovenia.
Nchi mbili ndogo zinazozungukwa na eneo la Italia ni San Marino na Vatikano.
Historia
Peninsula ya Italia iliunganishwa mara ya kwanza na Jamhuri ya Roma (509-27 K.K.), lakini hiyo ilipoenea Ulaya, Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi ikawa na sura ya kimataifa.
Umoja ulipotea kuanzia uvamizi wa Roma (476) na hasa baada ya ufalme wa Karolo Mkuu.
Juhudi za kuurudisha zilifanywa hasa katika karne ya 19, ambapo Ufalme wa Sardinia ulitekwa sehemu kubwa ya Italia (hasa miaka 1860, 1866 na 1870).
Baada ya vita vikuu vya pili iligeuka Jamhuri yenye katiba inayotia mamlaka kuu mikononi mwa bunge.
Ni kati ya nchi sita zilizoanzisha Umoja wa Ulaya mwaka 1957 ikaendelea kuunga mkono ustawi wake hadi uanzishaji wa pesa la pamoja (Euro).
Maendeleo
Italia ni nchi iliyoendelea, ikiwa na nafasi ya saba kwa nguvu ya kiuchumi duniani, hivyo ni mwanachama wa G7, G8 na G20.
Pia ni nchi inayongoza duniani kwa kuwa na mahali pengi (45) pa kimaumbile na pa kihistoria palipoingizwa katika orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia".
Viungo vyo nje
Tazama pia
Nchi za Umoja wa Ulaya | |
---|---|
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Italia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |