Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga pacha bora za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga pacha bora za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.


=== Jupiter ===
=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===
<gallery>
<gallery>
image:Great Red Spot From Voyager 1.jpg | The [[Great Red Spot]] as seen from Voyager 1.
image:Great Red Spot From Voyager 1.jpg | [[Doa Kubwa Jekundu]] katika angahewa ya Mshtarii (Jupiter) jinsi ilivyoonekana kutoka Voyager 1.
Image:Volcanic crater with radiating lava flows on Io.jpg | Color picture of Io, Jupiter's innermost Galilean satellite.
Image:Volcanic crater with radiating lava flows on Io.jpg | Picha ya [[Io]] mwezi wa Mshtarii.
image:Jupiter from Voyager 1.jpg | False color detail of Jupiter's atmosphere, as imaged by Voyager 1.
image:Jupiter from Voyager 1.jpg | Picha ya angahewa ya Mshtarii ilivyopigwa na Voyager 1.
image:Valhalla crater on Callisto.jpg | Valhalla crater on Callisto. Image taken by Voyager 1 in 1979.
image:Valhalla crater on Callisto.jpg | Kasoko la Valhalla kwenye mwezi Callisto wa Mshtarii ilivyopigiwapicha na Voyager 1 mwaka 1979.
</gallery>
</gallery>



Pitio la 11:00, 20 Januari 2013

Voyager 1
Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012

Voyager 1 ni chombo cha angani kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la NASA nchini Marekani kwa kusudi la kupeleleza anga katika mfumo wa jua letu hadi anga la nje kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake. Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).

Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa Pluto katika kanda la heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na graviti ya jua ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.

Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga pacha bora za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye Plutoni nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.

Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1

Saturn


Marejeo

Viungo vya Nje