Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza pag:Gresia
d Roboti: Imeongeza bxr:Грек
Mstari 104: Mstari 104:
[[br:Gres (bro)]]
[[br:Gres (bro)]]
[[bs:Grčka]]
[[bs:Grčka]]
[[bxr:Грек]]
[[ca:Grècia]]
[[ca:Grècia]]
[[cdo:Hĭ-lé-nà̤]]
[[cdo:Hĭ-lé-nà̤]]

Pitio la 22:38, 19 Januari 2013

Ugiriki

Ugiriki (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani. Imepakana na Albania, Jamhuri ya Masedonia, Bulgaria na Uturuki.

Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na Bahari ya Mediteranea.

Baharini kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.

Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".

Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inaotumiwa tangu miaka 3000, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.

Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ugiriki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA