Lugha za Kihindi-Kiulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza arz:لغات اندواوروبيه
Mstari 60: Mstari 60:
[[ang:Indo-Europisc sprǣchīred]]
[[ang:Indo-Europisc sprǣchīred]]
[[ar:لغات هندية أوروبية]]
[[ar:لغات هندية أوروبية]]
[[arz:لغات اندواوروبيه]]
[[as:ভাৰত-ইউৰোপীয় ভাষা]]
[[as:ভাৰত-ইউৰোপীয় ভাষা]]
[[ast:Llingües indoeuropees]]
[[ast:Llingües indoeuropees]]

Pitio la 16:21, 18 Januari 2013

Usambazaji wa lugha za Kihindi-Kiulaya (kijani cheupe) kati ya jamii za lugha zingine duniani
Uenezaji wa wasemaji wa Kihindi-Kiulaya asilia kufuatana na nadharia ya Kurgan
Uenezaji katikati ya milenia ya 3 KK
Uenezaji katikati ya milenia ya 2 KK
Uenezaji takriban mwaka 250 KK

Lugha za Kihindi-Kiulaya ni jamii kubwa ya lugha duniani. Kuna wasemaji bilioni 2.5 katika mabara yote. Uenezaji umetokana hasa kutokana na historia ya ukoloni wa Kiulaya uliopeleka lugha za Ulaya pande zote za dunia.

Lugha za Kihindi-Kiulaya

Jina la Kihindi-Kiulaya

Jina la Kihindi-Kiulaya limepatikana tangu karne ya 19. Wataalamu walitambua ya kwamba lugha za kale zinazotunzwa kimaandishi kama Kilatini, Kigiriki, Kisanskrit na Kiajemi cha Kale zinafanana kati yao pia na lugha zingine za Ulaya za kisasa na Uhindi wa Kaskazini.

Lugha za jamii ya Kihindi-Kiulaya zinafanana katika msamiati na sarufi.

Nadharia ya asili na usambazaji

Inaaminika ya kwamba lugha hizi zilikuwa na asili ya pamoja katika lugha isiyojulikana tena ya Kihindi-Kiulaya asilia. Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaza takriban miaka 6.000 iliyopita kutoka sehemu za Asia ya Magharibi. Sehemu ilihamia kwenda magharibi na kuingia katika Ulaya, sehemu nyingine ilihamia kwenda Uajemi na Bara Hindi.

Kuna nadharia mbalimbali kuhusu historia hiyo.



Kati ya lugha hizi ni zifuatazo:

( † inamaanisha ya kwamba lugha hii haina wasemaji tena kama lugha hai)

Kigezo:Link FA