Paramaribo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pa:ਪਾਰਾਮਾਰੀਬੋ
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza so:Paramaribo
Mstari 131: Mstari 131:
[[sk:Paramaribo]]
[[sk:Paramaribo]]
[[sl:Paramaribo]]
[[sl:Paramaribo]]
[[so:Paramaribo]]
[[sr:Парамарибо]]
[[sr:Парамарибо]]
[[srn:Paramaribo]]
[[srn:Paramaribo]]

Pitio la 18:09, 15 Januari 2013


Jiji la Paramaribo
Nchi Surinam
Nyumba za kale Paramaribo.
Mahali pa Maracaibo katika Surinam

Paramaribo (jina fupi: Par'bo) ni mji mkuu wa Surinam. Ina wakazi 250,000. Iko kando la mto Surinam takriban 20 km kutoka mwambao wa Bahari ya Karibi. Anwani ya kijiografia ni 5°52' N, 55°10' W.

Historia

Jina la Paramaribo limetokana na kijiji cha wenyeji asilia "Parmirbo". Mwaka 1613 Waholanzi walijenga kituo cha biashara karibu na kijiji hiki. 1651 eneo lilikuwa chini ya utawala wa Uingereza waliojenga hapa Fort Willoughby. Waholanzi walirudi mwaka 1667 wakatwaa eneo lote na kuita kituo Fort Zeelandia na kijiji mbele yake "Nieuw Middelburgh". 1683 nyumba 27 zilihesabiwa zilizoongezeka hadi 1790 kuwa zaidi ya 1000.

Mji wa kale ulichomwa moto mara mbili 1821 na 1832.

Baada ya mwisho wa utumwa mwaka 1863 wengi waliowahi kuwa watumwa walihamia mjini na kusababisha kukua kwa Maracaibo. Tangu 1975 imekuwa mji mkuu wa Surinam


Uchumi

Biashara ya nje kutoka Paramaribo ni hasa boksiti, sukari, mpunga, kokoa, kahawa na ubao. Kuna viwanda vya saruji, rangi na bia.

Utamaduni

Utamaduni wa Paramaribo una pande nyingi kutokana na mchanganyiko wa watu wenye asili ya Uhindi, Afrika, Indonesia, Uchina na Ulaya. Wenyeji wanapenda mashindano ya uimbaji wa ndege wanaofugwa kwa kusudi hii. Mashindano haya hutokea kila Jumapili.


Nyumba za zamani za Waholanzi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paramaribo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: