Belarus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ts:Belarus
d r2.7.3) (Robot: Modifying tl:Belarus to tl:Biyelorusya
Mstari 253: Mstari 253:
[[th:ประเทศเบลารุส]]
[[th:ประเทศเบลารุส]]
[[tk:Belorussiýa]]
[[tk:Belorussiýa]]
[[tl:Belarus]]
[[tl:Biyelorusya]]
[[tpi:Belaras]]
[[tpi:Belaras]]
[[tr:Beyaz Rusya]]
[[tr:Beyaz Rusya]]

Pitio la 13:00, 15 Januari 2013

Belarus
Ramani ya Belarus

Belarus (Kibelarus: Беларусь (kikyrili) au Biełaruś (kilatini); kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia. Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev na Vitebsk. Idadi ya wakazi ni watu 9,755,000 (2005 kad.).

Historia

Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20. Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama Poland, Lithuania na Urusi. Belarus ilikuwa kitengo cha Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.

Wakazi na utamaduni

Wakazi walio wengi ni Wabelarus ambao wanaongea ama Kibelarus au Kirusi ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili ya pamoja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi. Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kiluthuania na vingine. Walio wengi ni wafuasi wa Ukristo wa Kiorthodoksi.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belarus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA