Jan Mayen : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Robot: Modifying uk:Ян-Майєн to uk:Ян-Маєн
d r2.7.3) (Robot: Modifying bs:Jan Majen to bs:Jan Mayen
Mstari 33: Mstari 33:
[[bg:Ян Майен]]
[[bg:Ян Майен]]
[[br:Jan Mayen]]
[[br:Jan Mayen]]
[[bs:Jan Majen]]
[[bs:Jan Mayen]]
[[ca:Jan Mayen]]
[[ca:Jan Mayen]]
[[cs:Jan Mayen]]
[[cs:Jan Mayen]]

Pitio la 01:53, 10 Januari 2013

Mahali pa Jan Mayen kati ya Greenland na Norwei
Jan Mayen

Jan Mayen ni kisiwa cha Norwei katika eneo inapokutana Bahari ya Aktika na Atlantiki ya Kaskazini chenye eno la 373 km². Ureu ni km 52. Kisiwa kipo katikati ya Norwei, Isilandi na Greenland.

Hakuna wakazi wa kudumu isipokuwa wafanyakazi 14 wa vituo viwili vya serikali ya Norwei. Moja ni kituo cha redio kinachohudumia usafiri kwa ndege katika sehemu hii ya dunia. Nyingine ni kituo cha wataalamu wanaopima hali ya hewa.

Jan Mayen iliztangazwa kuwa sehemu ya Norwei 27 Februari 1930. Kiutawala iko chini ya gavana wa Spitzbergen.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jan Mayen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA